Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Sitaki hata kusikia huu mtandao, nilipata rafiki picha zake kama mnyarwanda anajiita mwanahawa dooo akanililia shida elfu 30 ile kumtumia ndio Ukawa mwisho wa urafiki wetu simu hapokei mwisho zikawa hazipatikani kabisa namba zake ni hz huyu tapeli 0718870900 na 0684642067
 
Mwenye kutaka Pesa azifate... Usimtumie mtu pesa hata kumuona hujawahi....
 
1478068053035.png
1478068110460.png

Wote wamenilia hela zangu hao na kuingia mitini
 
Kuna kipindi Fulani nilikua kwenye msongo wa mawazo baada ya kutendwa na niliempenda sasa hata kazini sikwenda nikaona nijiunge badoo ili niwe na refresh mind kwa kuchati na watu tofauti tofauti daaaaaa, nilitoka nduki huko maana nilitumiwa msg za kutosha mibaba ilijua imepata nyama mpya tena mingine ikataka niitumie picha za utupu yani nilishukuru maana kulikua na option ya kufuta akaunti ndo kilichoniokoa
 
View attachment 428100View attachment 428101
Wote wamenilia hela zangu hao na kuingia mitini
Huyo wa Juu aliniambia anaishi kigamboni... akasema hawezi kuja hadi nitume nauli nikamuambia aje tu me nitamrejeshea pesa si tatizo kwangu akagoma eti mimi ndio mwenye Shida nikamuambia situmagi pesa mimi nikaona wale wale...kwenda.. Pole Sana you have to be very carefully na wanaoomba pesa kwanza... nipe nikupe ndio mwake mwake
 
Back
Top Bottom