Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Ukishaombwa pesa ujue hapo hakuna Business futa delete kabisa... Huko Kuna Mtu aliniungisha nikajikuta nimezamia dah Hatari
kuna mwingine nilikiwa nachati nae nikajua dem kwa picha alizoweka za kike kumbe ni shoga,
 
badoo ni mtandao ulioanzishwaa esp kwa ajili ya kutafuta mpenzi na sio wa kuchat na kwa asilimiaa 90 sio mtandao wa mastaraight bali ni mtandao wa magasho so mtu usilalamike kama ww ni straight alafu upo badoo jiandae kutongozwa na wanaume wenzio 24hrs manake naona watu wananalamika kutextiwa ukishaingiaa badoo jua ww ndo wale wale wa mlango wa uwani...sio kila mtandao wa kudandiaa ulizeni kwanza hata wasichana wanaojiuza nao hauwahusu.....
 
kule badoo mwanamke anakupm mwenyewe na anakueleza atakacho then mkamalizane
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
nitumie link ya Badoo nijiunge fasta
 
Kuna kipindi Fulani nilikua kwenye msongo wa mawazo baada ya kutendwa na niliempenda sasa hata kazini sikwenda nikaona nijiunge badoo ili niwe na refresh mind kwa kuchati na watu tofauti tofauti daaaaaa, nilitoka nduki huko maana nilitumiwa msg za kutosha mibaba ilijua imepata nyama mpya tena mingine ikataka niitumie picha za utupu yani nilishukuru maana kulikua na option ya kufuta akaunti ndo kilichoniokoa
Vipi lakini mkuu za huko mwanza? Hatujawasiliana kitambo sana
 
Ntakuja mkuu,nikija nitakwambia,ila njoo mjini uoshe macho bhana,uje upande na mabasi ya mwendokasi
Nilikua huko mwezi uliopita Ila samahani sikukwambia na nimekaa huko Kama mwezi mmoja hivi next time nikija nitakutaarifu pia
 
Back
Top Bottom