Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nilikua huko mwezi uliopita Ila samahani sikukwambia na nimekaa huko Kama mwezi mmoja hivi next time nikija nitakutaarifu pia
Ulikosea saba mkuu,next time ukija niambie ntakuwa mwenyeji wako,
 
mmh hii app sio nzuri kwa watoto wadogo maana haina namna
 
Unaweza kuona profile ina mambo matamu namna hii
1478169232384.jpg
1478169239058.jpg
1478169255409.jpg
1478169266857.jpg
1478169277681.jpg
1478169286478.jpg
1478169298100.jpg
1478169309920.jpg
Kumbe ni dume na madevu yake limetumia tu picha za watu kuvuta noti.
 
Sasa aliesema serikali imesitisha ajira mbona alidanganya? Ajira si hizi huku badoo?
[HASHTAG]#somanamba[/HASHTAG] [HASHTAG]#achakelele[/HASHTAG]
Tena wala hatupewi risiti [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom