Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nani aniuzie acc ya badoo? Nna shida ya haraka
 
mh!,.. kpekuapekua sana c vzur jaman.. dunia ina meng hii ohooooooo
 
Huko instagram kuna anaejiita james delicious ni hatari jaman tena kijana mdogo sana sijui ni malezi yanapelekea kuwa hivo au nin nachanganya sana yaaan saiv mtoto wa kiume kumfanya awe mwanaume kamili ni mtihani tuwaombee tu ndugu zetu warudi katka Hali ya kawaida
 
Nyie mnawaponda hao mashoga lakin madame wema sepenga anawapenda hao viumbe hadi kuwapost kwa page yake ya Ig 🙂
 
Nyie mnawaponda hao mashoga lakin madame wema sepenga anawapenda hao viumbe hadi kuwapost kwa page yake ya Ig 🙂
Huyo james delicious ni rafiki mkubwa wa wema nilvoambiwa Kama upo instagram hebu mcheck huyu mtu nkapitia post zake nkaona pic akiwa na sepetu huwa anaendaga nao sijui ni vibao kata sijui vigoma hatarii ndugu Mungu wetu tusaidie tuondokane na hili janga patia picha sasa nduguyo ndo shoga inaumiza jaman
 
mbona mm sijaona iyo kitu huko badoo[emoji2] [emoji2]
 
mimi mbona naonaga wasichana wazuri tu wakinikaribisha tupige story.
Inategemea umejiungaje ulichagua marafiki wa kike tu hiyo unaletewa wa kike tu ungechagua wa kiume na kike wangekuja wote pia unaweza kuchagua wa kiume tu pia unaweza kuset wawe wa umri yani kati ya miaka gani
 
mie nilikwapua moja kwa badoo, unaambiwa papuchi ka domo la predator ile movie ya Arnold Schwazernegger, niliogopa nikasema leo nimeopoa jini, manake kwanza lilikataa taa kuwashwa mie nikafosi, daa kuja kuangalia papuchi ka domo la predotor duu, tangu hapo nikadelete kabisa account ya badoo, sipo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…