KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Daah basi acha niwe humuhumu JF,maana naogopa kama jinamizi mamii,roho inenda mbio kama saa mbovu.BADOO hiyo ndio shughuli yake na bei unatajiwa watu wanajiuza live yaan ukiingia huko unaonekana na ww ndio walewale
ur missed karanjaDaah basi acha niwe humuhumu JF,maana naogopa kama jinamizi mamii,roho inenda mbio kama saa mbovu.
Thanks Mrembo,missed you too mamii.ur missed karanja
mbona umepotea hivyoThanks Mrembo,missed you too mamii.
Mrembo,mimi ni muuza karanga za kukaanga hapa katikati ya jiji la Dar,biashara imekuwa ngumu kipindi hichi cha Magufuli,mbona umepotea hivyo
Hatari sana mkuu.Kudadeki
Na hapa ndipo inapokuwa vigumu kupambana na biashara hii kongwe.Mmmh... Watu wanatumia fursa ipasavyo...!!!
Mjini kuna mengi na ukizubaa tu inakula kwako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo ya mjini
App.Iyo bado Ni application au ile nyimbo ya daimond?
Ajabu kabisa, ni mbinu za kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Sa saloon kwan mim nmesema nataka nywele zake nkazindike?
Ukituma tu kimyaaa.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Badoo unaweza kula kuanzia vikongwe, wamama, wadada mpaka wanafunzi bora tu pochi iwe imeshiba.Kiukweli kabisa hawa dada zetu mtandao wa badoo washaugeuza sehemu ya biashara
Dunia gunia.....Aseeh
Hatari mwanaumeTeh teh teh
sina uboss lady wowote mm mwenyewe house girl kwahyo tumekutana muuza karanga na house girlMrembo,mimi ni muuza karanga za kukaanga hapa katikati ya jiji la Dar,biashara imekuwa ngumu kipindi hichi cha Magufuli,
imebidi nifanye niongeze territory ingine ili kukuza soko,so nimeanza kuuza maeneo ya nje ya jiji pia(suburbs},kwa hiyo kwa siku nasukuma kitoroli changu kwa takriban 40 kilometers all round in a day ,hii naanza saa 11 alfajiri mpaka saa 1 jioni,nikirudi nyumbani hoi,yaani speed meter huwa imesoma sana kwa hiyo naanza kusinzia kabla sijaoga usiku.Naomba kazi niwe house boy wako au shamba boy,i promise to execute all my duties in the most efficient manner,thanks nawasilisha kwako mrembo the boss lady.
Acha hizo mrembo,yaani unachomoa kilaini hivyo?ujue natafuta gear ya kuingilia mamii.sina uboss lady wowote mm mwenyewe house girl kwahyo tumekutana muuza karanga na house girl