Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Huyo sio msemaji wao, Bali ni mmoja wao. Nashangaa humu JF watu wanachatig nae as if ni Dem, huyo ni gay [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani gay ana shida gani? Muache mwenzako kutetea sio dhambi, kama hutaki umba dunia yako ukakae huko
 
Hata mm nashangaa, tupo ulimwenguni wacha watu waishi maisha yao ili mradi hamkeri mtu. Unakuta hitu linaropoka mfukoni halina hata mia sasa ndio nini, badala ya kupambana lipate kipato limekalia kuzungumaza mambo ya watu, sijui anachimbachimba ili na yeye ajue namna ya kudonolewa kizenji
 
Wasichana wengi waliomp badoo ni washamba na wachafu
 
Well said!
Niliwahi kufanya pilot study humo nikajikuta nimekula mhanga chap...please usijaribu kama haupo serious...shetani yupo
 
Huo mtandao wana data wanakusanya kutoka kwa individuals mbali na kuwakutanisha watu, ipo siku wakifikia malengo yao watu watabaki uchi hadharani maana yanayoendelea huko siyo madogo
 
Jamani connection ya pisi kali za mzumbe na sua university plzzzz. Moro huku ni bby making weather
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…