Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mnatetea matapeli?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji30] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Shukuru umekutana na muwazi, mwengine hapo angekuzuga na kukushawihi umtumie vipesa vya kusuka. Haaahaa.
Hata kama angenificha lakini nimtumie hela kidanganyio kusuka, big NO
 
mi nishapiga sana hawa madada wa badoo, sijakumbana na hizo kadhi mnazosema, huwaambia kopa ukifika nakupa, nilikuja kuacha 1 tushaonana wakati naenda nunua condom akadai bby nichukulie na ky, kwa kweli hamu ilinitoka hapo hapo nikisingizia kuumwa na nikaacha mpaka leo, nikatoka
 
Ky mafuta ya joti au?? Mkuu umekimbia kisa Ky[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hapafai huko kuna mhindi mmoja alitaka nimbandue, akidai anakubali zagamba za watu weusi. Ni milionea mkubwa tu hapo k/koo akifanya biashara ya mitumba.
Nikamwambia tuma picha nione mzigo, hata sikuamini macho yangu alikua mhindi kweli lakini sio demu bali MDINGI mwenye almost 55.
 
Kule ni balaa baba ukiingia kichwa kichwa.
 
Nilishapiga sana pia kule ila changamoto zake ni kubwa na lisipokukuta hili ujue litakukuta hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…