IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatetea matapeli?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji30] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Naunga mkono hoja. kama kulikua kuna ulazima wa kuweka picha ya mtu basi walau hata sura ikatwe au izibwe. sio vizuri kabisa kuanika watu hapa ukizingatia jf Ina member wengi ndugu zao wa karibu wanaweza kupita hapa wakaona. Mods/ na aliweka picha zao fanyeni utaratibu wa kuziondoa
HahaaaaaShukuru umekutana na muwazi, mwengine hapo angekuzuga na kukushawihi umtumie vipesa vya kusuka. Haaahaa.
Tabu sana...daaah watu walishajitoa mshipa wa utu
Hata kama angenificha lakini nimtumie hela kidanganyio kusuka, big NOShukuru umekutana na muwazi, mwengine hapo angekuzuga na kukushawihi umtumie vipesa vya kusuka. Haaahaa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]We Msukuma rudi kwenu Chato,kidding..!
Badoo ni noma,huwa naingia nikiwa na stress zangu kuwaenjoy.
Ky mafuta ya joti au?? Mkuu umekimbia kisa Ky[emoji3] [emoji3] [emoji3]mi nishapiga sana hawa madada wa badoo, sijakumbana na hizo kadhi mnazosema, huwaambia kopa ukifika nakupa, nilikuja kuacha 1 tushaonana wakati naenda nunua condom akadai bby nichukulie na ky, kwa kweli hamu ilinitoka hapo hapo nikisingizia kuumwa na nikaacha mpaka leo, nikatoka
Kule ni balaa baba ukiingia kichwa kichwa.Hapafai huko kuna mhindi mmoja alitaka nimbandue, akidai anakubali zagamba za watu weusi. Ni milionea mkubwa tu hapo k/koo akifanya biashara ya mitumba.
Nikamwambia tuma picha nione mzigo, hata sikuamini macho yangu alikua mhindi kweli lakini sio demu bali MDINGI mwenye almost 55.
Nilishapiga sana pia kule ila changamoto zake ni kubwa na lisipokukuta hili ujue litakukuta hilimi nishapiga sana hawa madada wa badoo, sijakumbana na hizo kadhi mnazosema, huwaambia kopa ukifika nakupa, nilikuja kuacha 1 tushaonana wakati naenda nunua condom akadai bby nichukulie na ky, kwa kweli hamu ilinitoka hapo hapo nikisingizia kuumwa na nikaacha mpaka leo, nikatoka
Badoo ni ngumu mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] badoo ilinishinda tabia
Tunasema kakutana na mwenye moyo safi.Shukuru umekutana na muwazi, mwengine hapo angekuzuga na kukushawihi umtumie vipesa vya kusuka. Haaahaa.