Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

dbbbbad70ba474275229ec7037ac7cf7.jpg
Mkuu lengo si ilikuwa ni kuonana nae tu! Je kama akija sahv muonane hutamchafua?
 
Mimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahha
 
anaenda kutengeza nywele? ungemuuliza nywele au wigi kwanza?
 
Back
Top Bottom