Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Arabian queen naona umependezwa sana na watu wanavyoingizwa mjini kupitia badoo. Heeheeehee
 
Koh koh koh koh ko ptyuuu
***************************

Mzungu wangu hana shidaaa
Hata simuombi yeye mwenyewe anajua majukumu yake as a man
Msimu wa sikukuu huu zamaaaani muamala ushasomaa
He's a responsible man ever seen before


cc: Smart911


Lazima nikutunze na kukuthamini mahondaw usijali love..
 
Anaemiliki huo mtandao inaonekana ni mtu mwenye njaa sana kuliko wamiliki wote wa social networks duniani.
 
Babu hebu funguka vizuri ni 10,000 tu au umesahau kuweka ziro 2 hapo mbele,maana kwa hasira hizi sitaki kuamini.
 
Kwa wale wanaoshangaa yanayotokea badoo, ni kwamba ile ni 'dating site'.. Ila sasa naona wadau wengi wanauza na kununua "kazi", na wengine kama hivyo wanatapeliwa. Humo humo kuna vidume vinajifanya ni mademu na kutapeli watu wenye njaa zao [emoji16][emoji16][emoji16].

Kuweni makini wadau, usikubali kununua mbuzi kwenye gunia. Wengi ni matapeli
 
upuuzi mtupu
 
mie huu mtandao nishagonga sana na ingekuwa penseli basi ingekuwa ishakwisha kabisa, ila inabidi uwe mjanja na wewe ukicheza unaliwa, cha ajabu mpaka wake za watu nao wanajiuza humu, niliacha siku niliyofatwa na shoga, tena likawa linanibembeleza sana kuwa nikikupa mie utasahau wote niliowahi lala nao, kwa kweli nilidelete account yangu hapo hapo sijataka tena kuingia huu mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…