Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Badoo inawaibisha na kuwashushia hadhi zao wanawake.

Just imagine upo ofisi moja kali matata sana hapo dar, mle ndani kuna vibinti unafanya navyo kazi ila vina uso wambuzi yaani fully ubize na usmart. Hamaki unafungua laptop yako unaingia badoo na fake id unavikuta kule na vi picha vya ofisi, kwa vile wameruhusu wawe tracked na hio service unaona location ni mita 1. Una muomba urafiki mna chat baadae anataka kukutapeli unamzukia live... vipi mbona hukuja.. basi inakuwa ni aibuuuuu
 
kila siku anabadili profile huyo japo jina ni lile lile MONICA
 
Huyo dada namfahamu vizuri sana anaitwa Zubeda alikuwa anaishi ilala kwa sasa amehamia mbagala nadhani, au kigamboni nimesahau, nataka kukwambia tu hapo umedanganywa kwa picha tu, huyu dada alikuwa anapenda kujaza mipicha yake mitandaoni, wenye kazi na picha wamechukua wamezifanyia kazi, ninayo mpaka namba yake na huwa naongea nae, mara nyingi sana napenda kuwaambia hawa dada zetu, kujaza mipicha yenu mitandaoni hamko salama, itakuja kutumika sivyo mtajuta
 
unajua mnatukana wanawake tu bure sometimes mnachart na wanaume wenzenu mnapigwa tu hela
Kumbe hata tuliowagonga ni wanaume eeeh, kiufupi ndipo Malaya walipoamia, sema picha nyingi ni fake wamechukua picha za watu fb ndio wameweka kuna mama ni MTU mzima yupo Moro nimekuta picha zake nikashtuka nikamchokoza nikizani ni yeye kumbe loo ni jitu linajiuza kupitia picha zake na Huyo mama ana watoto wakubwa ni washkaj nataman nikawaambie jinsi picha za mama yao zinavyotumika vibaya kujiuza, mbaya zaidi kila akipost picha mpya fb Malaya anacopy ana paste badoo so ukiwa mjinga unaweza zani ndie akija ni MTU mwingine kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…