Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Wengi mnaoliwa pesa zenu ni washamba. Hakuna mtu anayetapeli kwa kutumia picha yake mwenyewe, hata kujiuza mtu hajiuzi hovyo hovyo. Matapeli huchukua picha za watu kutoka facebook, instagram na kwingineko halafu wanajifanya ndio wao. Kuna mpaka kina serena williams ana jina la kibongo! Acheni kuzileta hapa hizo picha ikiwa uliishia kutuma pesa tu na hukukutana laivu na mwenye picha. Mnachafua watu bure.
 
Inamaana na wale tuliokwisha wat...mba sio wenyewe au?
 

[emoji23][emoji23]
 
Hiyo 20elfu ya mafuta inaitwa kuingiza mguu ili utoe huo mguu ndio ilikuwa hiyo elfu 10 na hiyo ya chumba!!! Mkuu yaani ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…