Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Umefafanua vizuri
 
Lugha uliotumia kwa dada zetu haina staha, inaudhi, kama ungetumia lugha nzuri naamini ujumbe wako ungefika vizuri zaidi. Usiwaite wanawake malaya kwani huo umalaya wanajichua au wanakutana na malaya wa kiume? Hawa ni dada na mama zetu waheshimu haitakupunguzia chochote ktk maisha yako.
 
Mi nakataaaa nachat badoo huu mwaka wa tano sijawah mvulia mwanaume nguo. Na ukiongelea kuhusu nn, Kuna wanaume wanalugha za ajabu mule badoo heeeeee...!!!! Yaaan.. Alaf ndo mnasema wanawake wa mule kha!!! Ila utakavyokua unachat na mtu, the you present your self ndivyo watakavyocheza na ww.
 
Wewe dada acha uzushi,,badoo unachat na nani na unachat nini? Na wewe ni demu wa mtandao
 
Tatzo ww ushajiwekea fikra kila anaechat badoo ni malaya, kwanza nachat na wanawake na wanaume. Inaitegemea unainteract vp na hao watu.
Kwani huwa mnachat nini?? Maana mle unakutana tu na unknown person na washasema kabisa ni mtandao wa dating.
 
Kwani huwa mnachat nini?? Maana mle unakutana tu na unknown person na washasema kabisa ni mtandao wa dating.
Kumbuka wakat unajoin unajaza unataka nn mule, friendship or dating. Kwhyo ukiweka dating lazma utawapata. Ukieka friendship unakua unachat na wakawaida saaana. Ila changamoto zpo. Kuna miwanaume iliyokosa adabu, kazi yao kuchfua Hali ya hewa. Ukikutana na kama huyo. Unampotezea chatting zake
 
Acha kujitetea,badoo ni umalaya tu,mwanamke anaejiheshimu hawezi kuwa badoo
 
mimi nina miaka miwili nipo huko mbona sijaona hao malaya,haiwezekani mtu unachokoza watu huko alafu ukiombwa hela unakimbilia huku kulalamika,yaani hawezi kukuomba kama hakuna series flan ya maongezi.
Well said.
Tatizo mitandao inatumika ndivyo sivyo.
 
kweli wewe ni lost id? unazingua watu Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…