Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kwani jini kitu gani? Kama anayo anagegedwa fresh tu, atajijua mwenyewe na ujini wake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23]mtakojoa dagaa nyie[emoji23][emoji23]
 
co
Salaam wakuu,
Eeh bwana juzi nilikuwa na safari ambayo ilinitaka nitoke mkoani then nije DSM ndio nisafiri, sasa nikafikia lodge moja maeneo ya airport. Mida ya kama alasiri hivi nikiwa nimejipumzisha nikasikia mlango unagongwa ile kufungua nikakutana na demu akataka kuingia wakati simjui... Alivyoona namshangaa akauliza we si "xxxxx "!? Haraka haraka nikajua huyu hajui amekuja kukutana na nani nikamjibu YES! Akaingia nikajilia mzigo wala hata hana maswali ya kutaka kujua kama aliyekutana naye ni yeye au laah! Moja kwa moja nikajua huyu atakuwa alipanga apointment na jamaa yake through BADOO tuu... mitandao ya kijamii kwakweli ni shiiiiiiida.
condom ulitumia ?
 
Mwanaume kama huyu cku akija kujua dem wake anachepuka wanakuaga wakali sana wakati ye anachepuka hadi na mashetani, wanaume sisi hapana
 
mbona cku izi badoo sioni warembo nimemua nu delete app tu
 
Mimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAAA
 
d90c8b854ce73932136a68e842b4c13f.jpg
acbb304cc98c1f9cc9736d54f68b4c0d.jpg
HAHAAAA AISEEE WATU WAMEKULA MAVI DAAHH
.HAHAAAAA
 
Back
Top Bottom