Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23][emoji23][emoji23]mtakojoa dagaa nyie[emoji23][emoji23]Kwani jini kitu gani? Kama anayo anagegedwa fresh tu, atajijua mwenyewe na ujini wake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hapana bana.... Ushamba tu unamsumbua.Okeee..mi nilidhani mnamuona mwenzenu kidume!
condom ulitumia ?Salaam wakuu,
Eeh bwana juzi nilikuwa na safari ambayo ilinitaka nitoke mkoani then nije DSM ndio nisafiri, sasa nikafikia lodge moja maeneo ya airport. Mida ya kama alasiri hivi nikiwa nimejipumzisha nikasikia mlango unagongwa ile kufungua nikakutana na demu akataka kuingia wakati simjui... Alivyoona namshangaa akauliza we si "xxxxx "!? Haraka haraka nikajua huyu hajui amekuja kukutana na nani nikamjibu YES! Akaingia nikajilia mzigo wala hata hana maswali ya kutaka kujua kama aliyekutana naye ni yeye au laah! Moja kwa moja nikajua huyu atakuwa alipanga apointment na jamaa yake through BADOO tuu... mitandao ya kijamii kwakweli ni shiiiiiiida.
Huyo si mchepukaji.....huyo ni kiruka njia.Mwanaume kama huyu cku akija kujua dem wake anachepuka wanakuaga wakali sana wakati ye anachepuka hadi na mashetani, wanaume sisi hapana
Ushasema unge....Mimi ningejua mwizi.
Mkuu inaelekea una experience sana na hawa watuHao ni wale wenye pesa zao wanatafuta vijana wakuwachangamsha
Acha ubishi usio na faida mkuu..Hapana bwana ni msimamo wako tu.
hahaa badoo nyimbo tena ??Iyo [HASHTAG]#Badoo[/HASHTAG] Ni nyimbo au
HAHAAAA ..JF ni stress free zone...
HAHAAAMimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaaHuko muda mwengine ukisalimia tu unaambiwa una pesa au unajishaua tu[emoji86] [emoji86] [emoji86]
hahaaa nimependa jibu lako aiseee hahaa
HAHAAAA AISEEE WATU WAMEKULA MAVI DAAHH
hahaaaaHuna akili hv badoo kuna nyumba za kuishi? Au ni hao hao wa mitaani wako badoo?
hahaaaJapo umenikombea visenti lakini bado nakupenda tu.