Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

ase chapa dudu badoo kipindi flani mpaka ub.oo ulichubuka..
yani nikiingia tu..nachukua namba tatu chap..na log off kati ya tatu mmoja lazma achapike tu
 
Na wewe unafanya nini huko badoo?
 
Ukijibiwa naomba unitag me mwenyewe sielewi..

badoo what is it??
Ule ni apps ya danguro kuuza na kununua, pia kuchunwa unamtongoza dem Mkali kumbe men,washaliwa ng'ombe wengi sana mmoja alimtumia laki dem baada ya kuonyesha private pics ambazo unalipia elf tano akufungulie unaechat nae kumbe ni men,unauziwa Picha tu.
 
hizi social network ni mtu mwenyewe anavoamua matumizi, hakuna cha badoo wala jf yani popote panaweza kuwa danguro au kijiwe cha story, matumizi yanahusu
Ila magrupu ya wasap ndo noma asee, unaweza ukapitia wanawake wotee afu wakijuana au wasijuane shauri zao
 
Jamani ingekuwa kila mtu ana mpenz mmoja sasa wengine watakosa wa kudanga nao so hiyo mitandao ipo kwa ajili ya kina sisi mabachela, wenye wapenzi ndo wanatuvurugia mishe zetu hawatosheki, mabachela tunapendana kimpango wetu na tunameet badoo tunapeana namba tunapiga stori weeeeh hadi tunajishtukia tumelalia shuka moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…