Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kama ulijitengea muda wako kwa furaha kwa hao watoto wa wenzako wa mitandaoni na ndivyo wa kwako watakavyofanywa na wengine ukishuhudia kabla ya mauti yako.
 
''...Kwa upande wangu nimebahatika kukutana na mabinti wadogo sana kwenye hiyo mitandao...''

Kiongozi hii unaita umebahatika?!
 
Wakuu naandika nikiwa kwenye lindi la maswali ,mimi sina akaunti lakini kuna jamaa huwa analog in ananionyesha malaya nnaowaheshimu anawazingua inbox tunacheka tu katika kuperuz hamad !!!!picha ya mupenzi hii hapa ,uzuri akaipita nkavizia lunch nikaitafuta ana jina feki mle nkaogopa kuchat nae jamaa ni messi atapiga bure,hivi hii ni nini?
 
Don't be quick to judge and usifanye maamuzi ya haraka, fanya utafiti mwenyewe. Either jaribu kucheki simu ya mpenzi wako(kama ikiwezekana) au mtongoze kupitia huko badoo na mpange kuonana kisha jibanze sehemu na kucheki kama ni yeye atakaetokea au la. Ila jiandae kwa lolote you might see.

Hii ni kwasababu watu wengi mtandaoni wanatumia picha si zao, kwahiyo kama mpenzi wako ni mzuri au ana shape, mtu anaweza kuiba picha yake sehemu yoyote ile na kuipachika as profile picture, ili kuvutia watu.
 
Last edited:
Ni mpenzi wako au ni "muasherati mwenzako"?? Mpenzi wako ni "mkeo tu" lakini kama hujamuoa huyo binti, basi ni muasherati mwenzako tu, na yeye kuwa BADOO ni sawa maana huo ni mtandao wa waasherati!

Mkuu achana na Uasherati, oa utulie. Imeandikwa ikimbieni zinaa!
 
Nilivyosoma heading nikadhan umemkuta mpenzi wako bado bikra kumbee daaah!

Haya wanakuja
Hahahahaua namm nkajua hivo ivo[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii inaonyesha bikra zimekua Adimu kama kalio la nyoka kias kwamba ukisikia Nmemkutaaa badooo...unjiuliza.bado.bikra??? Hahahahah .
 
1.Pengine alijiunga kabla ya kuolewa nawe!
2.Sio kila aliyepo badoo ni muasherati kuna watu wanafanya zao biashara halali
3. Wengine wanachat zao tu na kutafuta marafiki.

Kwangu binafsi, ule ni mtandao ambao umenipatia wateja wa bidhaa zangu mbalimbali na marafiki wengi wa maana kuliko mtandao mwingine wowote.
 
Easy mkuu, kujiuliza bila kumuuliza yeye au kufanya uchunguzi kwa nini yupo huko ni kujiumiza tu. Mchunguze au muulize kwanza.
 
Sikuwahi kujua kama huu mtandao ni wa hivi, nilikuwa nikijua ni kama fb tu maana nako haya yapo. Nadhani mtoa mada hana uelewa wa kutosha, maana hata mitandao mingine watu wanaliwa tu kama ni malaya.
 
Reactions: lup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…