Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Wengi wanaoomba nauli hua ni wanaume.. kua makini.

Kama anataka aje mwambie achukue boda boda aje utalipa.

Juzi nimeopoa mtoto mmoja toka badoo aisee anajua kuchezea mshedede, mkuu mtoto anachezea mashine kama amesomea chuo kikuu.
Duh usinikimbushe.. kuna mmoja nikipata alikuja mwanza mda mfupi baadaye tukonana badoo Akaja kwangu aisee sitajuta kuwa na huyo dada na sikujua kama ni mke wa mtu siku moja nampigia sim amesbarudi arusha nashangaa mwanaume anapokea na kudai ni mme wake
 
hey be spesific thread aieleweki
 
Kuna madem kama 17 wa badoo nimewala week hii. Nahisi na wakwako itakua nimempitia mkuu. Ai em vele sole
 
Kule badoo kila bi mdada yuko single...wanadanga hao kama nini....!
 
Inawezekana someone ametumia picha ya mpenzi wako maana huko badoo watu hawaweki real picha zao
 
Huyo mkeo atakuwa mzuri sana mpaka watu wanatumia picha yake!!
 
Tupia kapicha kake mkuu maana kule ni kuwaokota nakupita inaezekana nilishawahi kupita nae mkuu ndio mana nakuambia utupie picha.
 
Ungemwambia umejua mambo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…