God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
kwa nini serikali isiwatie ndani?Shoga liliokubuhu lile tena la waziwazi!!!
Yaani wako wengi mtihani mtupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini serikali isiwatie ndani?Shoga liliokubuhu lile tena la waziwazi!!!
Yaani wako wengi mtihani mtupu!
ndo wateja wao wakubwa hao vigogo wa serikalikwa nini serikali isiwatie ndani?
mkuu ni kweli umenikumbusha kisa cha mbali sanando wateja wao wakubwa hao vigogo wa serikali
inaumizaaamkuu nami pia naogopa sana kuzaaa watoto mapunga
tell us!!mkuu ni kweli umenikumbusha kisa cha mbali sana
Unajua kukuza mambo,mm nipo mkuu mwaka wa watatu sasa,kama ukiitaji mpenzi unapata,ata marafiki,lakini sio kama unavyosema wewe,nawakaribisha wote mnaoitaji marafiki kutoka sehemu mbali mbali duniani,karibuni sana.Jamani naongea kwa machungu na masikitiko makubwa mno.
MKASA: Leo katika pekua pekua zangu mtandaoni nikasema ngoja nipitie mtandao wa badoo nijue nini kinaendelea huko...[emoji779] LAHAULA ile nimeingia nikasign in tu muda kidogo txt zina miminika nikajiuliza maswali huku mbona watu wakarimu hivi[emoji15] [emoji15] [emoji15] baada ya muda nikawa naulizwa vipi na kukaribishwa kula UBWABWA mnaweza kudhania natania ila kiukweli nimeshangaa sana, siyo mmoja tu bali kwa dakika kama 10 nikiwa on nimepata txt nne.
Nikasema ngoja nijue hasa interest yao hasa ni nini mpaka wameamua kujinadi hivyo cha ajabu wanatumia lugha ya ukarimu kuliko ata dada zetu. Kiukweli nimeogopa sana sikujua khali imefikia hapa wasiwasi wangu serikali inajua kinachoendelea??
Upande wa pili nao siyo haba biashara inaendelea eti, nimetoka nikiwa nimekata tamaaa kabisa kama vijana hasa wa kiume wameamua kujitoa kupikwa UBWABWA kwa idadi kubwa ile binafsi nimeogopa na kutambua taifa LIMEISHA BUNGULIWA KIASI CHA KUTOSHA JUHUDI ZA ZIADA ZINATAKIWA KIUKWELI.
Nipeni pole mwenzenu nimeigopa sana jamani sikujua kama tumefikia huku.
siwezi kukuambia hapa ila jibu ni kweli na miongoni mwao watakua wanapakuliwa pia.tell us!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mmoja mheshimiwa mwaka Jana hajapita wa mkoa Fulani ndo zake hizoo!!siwezi kukuambia hapa ila jibu ni kweli na miongoni mwao watakua wanapakuliwa pia.
Unajua nilikutaga stori ya malaya mmoja nikaisoma yote hakika ndo nikajua dunia inavyoenda
Mkuu kama kuna kaukweli maana yule mayala alikua anasema alikua na kitambi halafu huyo demu alidhani ndie mchepuko pekee kumbe ana wenzie. Alisema alivyomfumania alikuta mzee anakula tiGO na yeye hakupoteza mda akaendelea kubanjuliwa na mzeev taratibu. Alisema amepiga pesa ndefu sana pale[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mmoja mheshimiwa mwaka Jana hajapita wa mkoa Fulani ndo zake hizoo!!
mkuu ulimjuaje? naona atakua maarufu hapa mjini[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mmoja mheshimiwa mwaka Jana hajapita wa mkoa Fulani ndo zake hizoo!!
Madawa ya kuuliwa wadudu wamalizao mazao shambaniBadoo ndio nini jamani? Tuelewesheni na sisi tujue, naona wote mnaonyesha mnajua wakati sisi wengine hola.
KaribuNiko jf,whasap,IG na IMO tena ht miezi miwli sina!
asanteKaribu
[emoji16][emoji16][emoji2] [emoji2] [emoji2] naona mpendwa ananikwepa sijui kwanini
mbona sijawai msikia huyoig kuna kaka anajiita kaka poa loohh
hayo anayoyaandikaa!!majanga matupu!
kuna ile clip ya moyo mashine amelegeza machooo!!mbona sijawai msikia huyo
Nimalezi tu wala msiogopemkuu nami pia naogopa sana kuzaaa watoto mapunga