Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Habari za muda wanajamvi

Samahani nilikuwa naomba kujuzwa jinsi malipo ya mtandao wa urafiki wa badoo yanavyofanyika

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Ukiingia kwenye web page ya badoo kuna malipo yanajitokeza pale, ambapo unatakiwa kulipia ili uweze kuaccess vizuri members wengine waliopo hiumo
Duh hao members wengine wana nini cha zaidi?
 
Ni lazima use na kadi ya benki yenye sifa ya kulipia online lakini hakikisha baada ya kulipia unawayaatirifu wanajutoa kwenye mfumo wa automatic payment kwani mwezi ukiisha au zile point ulizilipia zikiisha wanakata direct
 
Mademu wa badoo ni shida,,nishafungishwa safari toka posta mpaka buza two times aiseeee
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Naunga mkono hoja. kama kulikua kuna ulazima wa kuweka picha ya mtu basi walau hata sura ikatwe au izibwe. sio vizuri kabisa kuanika watu hapa ukizingatia jf Ina member wengi ndugu zao wa karibu wanaweza kupita hapa wakaona. Mods/ na aliweka picha zao fanyeni utaratibu wa kuziondoa
Sisi tunaeka pics za wauza mbunye badoo,,kama una ndugu yako katika picha hizo pole sana kikubwa mtafutie shughuli ya kufanya kama unauchungu nae ili aache kuuza mbunye.
 
Back
Top Bottom