Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

huko watu wanatangaza njaa zaidi ya Somalia
57ea47cf7265682f029475d884f3edb1.jpg
hahaaa yaani kuuliza mambo vipi tu imekuwa shida aiseee ...
 
Itakuwa peperonity[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
hahaaa huko ndio hakufai kabisaaa aiseee
 
Kwa wale wasiojua mtandao wa Badoo na jinsi wabongo wanavyojiachia kufanya umalaya ni bora wakaendelea na kutokujua.

Kuna rafiki yangu alinishawishi nijiunge na Badoo kuna wasichana wa ukweli alafu ni rahisi tu, nikajua utani, basi nikajiunga na Badoo, nikaweka nataka kuchat na wadada tu nikaandika interest zangu nk. Zikawa zinakuja profle picha za wasichana wa ukweli kila rangi na kila shepu.

Wanaweka picha zao za utupu alafu wanaweka private mpaka u request kuangalia. Nilistaajabu ya Musa kwa kweli. Kumbe ni biashara kubwa sana ya ngono kwenye mtandao, kuna mabosi na vigogo wanatafuta wanawake.

Niliona picha za wanawake wako uchi wa mnyama kitandani na ukiomba namba unapewa bila hiana ila kila kitu kina price yake hakuna cha bure humo.Ukiomba picha utaambiwa lipia kwenye Tigopesa au M- Pesa ili upate picha chafu.

Na mkitaka kuonana basi dau linapangwa, ingawa si wote ambao wako Badoo wanatabia hizo na wengine wanajielewa na wanatafuta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo. But most of them ni malaya.

Wapo mpaka wanaume wanatengeneza profile za kike ili wawapige hela mafala, utakuta unachat na mtu anakutumia mapicha mnachat tuu lakini ukitaka muongee anajfanya mike au speaker mbovu, kumbe ni mwanaume mwenzio, utamtumia hela atajifanya msichana na SMS za kichokozi atatafuta hata video clips za uchi anafanya ndo yeye ili tu ale hela zako.

Rafiki yangu kabla hajaniambia kashapigwa sana hela na hao watu wa Badoo, utasikia nitumie nauli nije nikupe mambo, ukituma umeliwa.

Wengine ni wasichana warembo na wana kazi zao lakini Badoo inawaharibu. Wale mnaoujua mtandao wa Badoo mtakua mnanielewa nini nasema.

Huko hakuna utii wala heshima ya manabii na usishangae kumkuta mpenzi wako yupo huko na kibaya zaidi Badoo inaonesha location ya wote waliokaribu yako kama ni mkoa, wilaya, mtaa nk. Inaonesha distance ya mtu unaechat nae wala hakupi shida kukudanganya location Badoo.
 
Kwa hiyo watu huwa wanaatuma hela ili watumiwe picha n.k?

Inashangaza kwa kweli
 
Badoo ni shiiiiiiiiida tupu,niliifuta app ya badoo mwaka Jana mwishoni cuz huko unaweza kutana na ndg yako halafu akakudharau!
 
Yani picha mpaka utume pesa, kama ndio hivyo basi huko Badoo kuna vioja.
 
Back
Top Bottom