Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yajayo yanasikitishavipi mashoga bado hujakutana nao???? yajayo yanafurahisha endelea kutumia Badoo
JF ndio umiza kichwa zaidiusitongozee badoo,, njoo jf
Muhimu sana hilo ili uzi unogeWeka picha mojawapo ulioona huko
Kweli akileta chondechonde unitagMuhimu sana hilo ili uzi unoge
Yeye atakuwa nanafanya nini huko mpaka akudharau. si kila mtu alieko huko ni malaya.Badoo ni shiiiiiiiiida tupu,niliifuta app ya badoo mwaka Jana mwishoni cuz huko unaweza kutana na ndg yako halafu akakudharau!
We mwanaume naomba utoke kwenye huu uziMuhimu sana hilo ili uzi unoge
[emoji125] [emoji125] uwiii!! natoka hvyoWe mwanaume naomba utoke kwenye huu uzi
Yaan utoke kabisa naona umekuja kuangalia njia za kuchepuka hivi me sikutoshelezi[emoji125] [emoji125] uwiii!! natoka hvyo
Sio kuchepuka mumy nilikua tu napata elimu kidogo kuhusu badoo, wewe unanitoshelezaYaan utoke kabisa naona umekuja kuangalia njia za kuchepuka hivi me sikutoshelezi