Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mkuu badoo sio mahali pa kushobokea maana unaweza kuingizwa chaka na dume ukidhani ni demu hadi ukachanganyikiwa. Mkuu GuDume hebu pitia huku utupe maoni yako kuhusu badoo.
 
Duu, kumbe huu mtandao bado uko active? mie niliingia week tuu nilitoka mwenyewe hakuna adabu hata kidogo.
 
ExampleView attachment 721135View attachment 721136
Screenshot_20180321-110703.jpg
 
Pamoja na yote inasaidia wenye ndoa maana hakuna kupigiana simu na sms hovyo hovyo wala usumbufu wa kuombana pesa bila mpango.ni nipe nikupe,nikiwa na hamu ntakutafuta,na kwa vile tunauziana kondomu mbele.
 
Mie nishaombwa sana yaani. Huwa nampa makavu live tu kuwa sikutumii hata mia hadi tuonane au kakope uje, ukija huku utakula bata hadi uvimbiwe.
 
Umeyataka ulienda kufata ni2 huko badooooo lohhh....pili si ungetoa hela sasa mwanaume halalamiki....
Swiss me
 
Badoo ni shiiiiiiiiida tupu,niliifuta app ya badoo mwaka Jana mwishoni cuz huko unaweza kutana na ndg yako halafu akakudharau!
Yeye atakuwa nanafanya nini huko mpaka akudharau. si kila mtu alieko huko ni malaya.
Kwanzan mtambue hiyo ni dating site, hivyo iko kwa ajili hiyo na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom