Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mbona uko mtaani kwenu wamejaa kibao mademu wa badoo wala usipate shida
 
Wabongo walinishinda sahv nimehamia kwa hawa![emoji39][emoji39][emoji39]
Screenshot_20190426-164153.jpeg
Screenshot_20190426-163916.jpeg
Screenshot_20190426-163927.jpeg
Screenshot_20190426-164017.jpeg
 
Tangu nimejiunga na huu mtandao na kuweka location wapi nilipo nimechat na wadada zaidi ya 50 na wote wananitumia namba na wengine nishakutana nao

Huko Badoo nimekutana na wamama hadi wa miaka 40-45 hawajaolewa wapo wapo tu nishawatongoza wameingia line na wengine wanataka nionane nao ila naamua kuwapotezea

Je huu mtandao ulitengenezwa special kwa ajili ya wanawake kujiuza na wanaume kutafuta wanawake wa kuwatia?

Mademu wakali wakali wamejaa kule ila ndo karibia wote wanaonekana ni Malaya tu.

Ramadan Kareem!!
 
Ukipata kazi ya kufanya au akili ikikua utaacha uwo ujinga wa kutongoza mtandaoni ata cc tulipitia uko
 
Back
Top Bottom