Mwanamke aweza fanyika baraka?

Mwanamke aweza fanyika baraka?

Kutosha kwa maana ya sex kitandani si kweli, ninachoshukuru nilimpata wa saizi yangu hilo tu
Unaweza kuwa na nguvu vizuri tu ila bado umepoa km uji wa juzi,, rafiki yangu utasalitiwa tu
 
Kweli wanawake hamjui mnataka nn, anyway kwangu haijalishi lakini usaliti sio sifa, usaliti Hauna tuzo, mtu umempa pesa ya kumkidhi saloon ni kila baada ya wiki mbili, anachotaka kapewa, ety usaliti kisa mwanaume kapoa, hapana kwakweli,

Mimi siwezi badirishwa kisa mwanamke, naamin kama alitaka mwanaume aliechangamka kashampata tayari na ndo maana alikua anaweza kudanganywa wanabadirisha majina kila nikifumania text (huu ni aina nyingine ya ujinga wa mwanamke mpumbavu)

Naamini wa type yangu yupo na nitakuwa comfortable nae
 
Unavumiliaje ujinga kama huo!!!!

Yaani nimkute manzi angu na njemba wametoka kutiana niwaache???...Yaani kichapo kingeanza palepale, ningeanza na hako kajamaa kako uchi,ni vifuti vya mapumbu hadi kakinai, manzi nae adhabu yake angejuta kudate namimi.

Au hicho kijamaa kilikuzidi mbavu ndio maana ukawa mnyonge???

Watoto wa Nonde hatukosi beto la kumtoboa mtu tukimshindwa kwa ngumi,

Sinaga simile na mambo ya kijinga.
Jamaa ni muungwana sana.
Katika uvumilivu wake hajapoteza lolote.
Natamani ningekuwa na moyo wa subira kama mleta uzi.
 
Mi sina subira kwa kweli maana, huwezi wakuta watu wametoka kudinyana alafu ukawaacha eti moyo wa subra

Nawewe ni wale wale kama mtoa mada
 
Kweli wanawake hamjui mnataka nn, anyway kwangu haijalishi lakini usaliti sio sifa, usaliti Hauna tuzo, mtu umempa pesa ya kumkidhi saloon ni kila baada ya wiki mbili, anachotaka kapewa, ety usaliti kisa mwanaume kapoa, hapana kwakweli,

Mimi siwezi badirishwa kisa mwanamke, naamin kama alitaka mwanaume aliechangamka kashampata tayari na ndo maana alikua anaweza kudanganywa wanabadirisha majina kila nikifumania text (huu ni aina nyingine ya ujinga wa mwanamke mpumbavu)

Naamini wa type yangu yupo na nitakuwa comfortable nae
Changamka,, jitahidi kuongeza uchangamfu tunadharau sana mwanaume anaesamehe usaliti tena ulioshuhudia kwa macho yako na ushahidi wote,,
 
Yani mtoa mada ulivyopoa 😂😂😂Hadi kero mnakuwaga sio watundu kabisa nyie,, demu umemkuta na mtu na bado ukaendelea kujipendekeza 🤣🤣aina yako simtaki aisee
 
Ni mnyonge huyo, yaani!!!!! Ila hatufanani mioyo
 
Mi sina subira kwa kweli maana, huwezi wakuta watu wametoka kudinyana alafu ukawaacha eti moyo wa subra

Nawewe ni wale wale kama mtoa mada
Sina hiyo experience ya kufumania, sijui ikitokea itakuaje
 
Hahaha wapenda mikikimikiki ee
Eeeh sio tumekaa sebuleni tunaangaliana km waandishi wa habari wakimrikodi rais kwenye mkutano,, inatakiwa unibonyeze tako, unikonyeze,, ushike simu yangu uikague kague,, unitekenye unibusu,, nk namna hiyo yani
 
Back
Top Bottom