Mwanamke bora wa Maisha yangu

Mwanamke bora wa Maisha yangu

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati.

Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo

Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au zaidi niongezee kwenye biashara, ninunue Gari au nipate Kiwanja hapo tutaendana.

Mwanamke anayeniomba elfu 50 huyu najua kabisa anasumbuliwa na umasikini.

Mwanamke eti anakuomba pesa ya kununua simu laki 2 halafu kila siku anataka vocha huyu mimi anifai!! DEMU eti gesi imeisha my! Sina luku!? Duh!!! Umasikini.

Mchumba wangu au mke wangu ni yule anayenipa presha ya kutafuta pesa kufanya mambo makubwa yaani kama nikifika ndani ananikumbusha juu ya kile Kiwanja kinaanza kujengwa lini?

Anauliza kama Ile account ya akiba wiki hii nimeongeza kiasi gani!!.

yeye ananipa report ya kwamba home kwao na kwetu kawatumia kiasi kidogo cha pesa ya matumizi baba na mama yangu na wazazi wake!!

Pia kaongea na dogo shule kamrushia pesa ya madaftari na dada wa kazi kamlipa pesa yake ya mwezi huu, luku ipo ya kutosha, Gesi ya kutosha!!!

Mwanaume unaombwa mpaka pesa ya taka?

Nikikutongoza ukaniomba elfu 10 basi hapo hapo naona wewe sio Mwanamke unayejitambua!!

Mwanamke anayejitambua uwa anaomba vitu vikubwa kama kufunguliwa biashara kubwa au kumtafutiwa kazi au kupewa mkopo ili apanue biashara yake, au anunue gari ili kurahisisha kazi zake na mizunguko yake!!!

Mwanamke bora kwangu mwaka 2023 ni yule atakayewaza mambo makubwa sio kuwaza kupewa laki kwa kulalwa kwa usiku mmoja aisee mimi sikupi kabisa!!

Nataka wanawake wasiolia njaa wanaowaza jinsi ya kuwekeza!!
 
Daah uzi wa sigara dawa umefutwa Ila nimeambulia kuscreenshot namba
 
Eleza hayo ukijinadi tu ila tambua siku umetoa hizo milion tatu alafu ukajafumania amepakatwa ndio utajua hujui.Mama zetu ndio walikua wanawake bora kwa Sasa kuna mbwa tu hazijui zinataka nini duniani humu .Kwa mara yakwanza leo ninakatiza na bendera kubwa katika jiji hili la jamii forum ilioandikwa
KATAA KUOA KATAA KUOA TUNAVUNWA MNO MNO WANAUME KATAAA KUOA
 
Back
Top Bottom