Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo ujitulize sasa lol
Kweli kabisa.Usiombe mwanamke akuchoke, hapo ndiyo utaijua shubili ya mapenzi.
Usiombe mwanamke akayazoe maumivu kutokana na yale mabaya unayomtendea na kupelekea maumivu, kisha akamwaga chozi lake, pasipo kulithamini ukarudia tena makosa yale yale, utajuta kubarehe na kuingia katika dunia ya mapenzi.
Weli said, ila title kama haiko sawa,katika point nyingi ulizozitoa na jinsi ulivyoelezea yote yanasababishwa na wanaume,unaonaje hili likawa funzo kwa wanaume kuwasaidia wake zao wasiwasaliti.
Usiombe mwanamke akuchoke, hapo ndiyo utaijua shubili ya mapenzi.
Usiombe mwanamke akayazoe maumivu kutokana na yale mabaya unayomtendea na kupelekea maumivu, kisha akamwaga chozi lake, pasipo kulithamini ukarudia tena makosa yale yale, utajuta kubarehe na kuingia katika dunia ya mapenzi.
Vipi umeshachepuka,au ndio unategemea kuchepuka?yaan hapa ni kama unanisema mimi yaani acha tu
I think our love is on the last stage..............
Ahhhh! Jamani OLESAIDIMU nini tena?
ngoja wenye ndoa changa waje kukubishia hapa lol
tabu ya ndoa changa ni kudhani unajua kila kitu na mumeo/mkeo ni malaika
na wengine wote vimeo lol
Okey, thank you!!! Ila hata nawe kwenye thread moja unafunguka kweli na babu.
Ha ha haaaaa everlenk unajua kuna vitu kama ukikosea stepu kuvijua basi unakuwa kundi bovu sasa kama knowledge ipo humu kwa nini nisihakikishe naelewa!!!!!!?????
Kama ile kule au hii hapa is all about how women keep it going..........nahitaji kujua vema