Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

Somo zuri lakueleweka Mtambuzi ila hao wanawake wakukuelewa sijui wako wapi?
Utafiti kwani somo hili limewahusu wananwake peke yao, mbona mi naona kama limetugusa sisi zaidi kuliko hao wananwake. Kwa mfano namba 1, 2, 3 na sita, chanzo ni sisi wanaume au?
 
Mtambuzi uliyoyaandika ni kweli tupu..........


Kazi kwenu wanaume
 
Last edited by a moderator:
Thats what i meant. kucheat reşponsibly ni pamoja na sio tu kumfanya asijue, bali asihisi kabisa.

Za wake zetu hazitoshi????? Well K moja haijawahi kumtosha mwanaume mmoja. Hata kama huwa haijai.

u team B tu unawasumbua ujue
 
Back
Top Bottom