Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

No more king Excel n princes miss neddy that's why unapunguza maumivu popote cos unatafuta....

Jitahid kumficha utamsahau king
He wll be ur California king bed lol

Et dear,mume alikutambulisha kama neddy ni dadake? maana anajishaua et ni shemeji,sijui ndo zile za shemeji shemeji zima taa!!!??
 
No more king Excel n princes miss neddy that's why unapunguza maumivu popote cos unatafuta....

Jitahid kumficha utamsahau king
He wll be ur California king bed lol

sitafuti nitabaki single forever ohooooops i miss my king but he is no more belong to me so sad
 
Last edited by a moderator:
nedy anamuwinda mokoyo tutafute tindikali

Weeeee kwa mume wangu ntatawanya utumbo wallah ...

ICHANA huyu bint tumsamehee kaachika...ila nawe nedy kaa mbali na mume wa bestizo...

No more king Excel n princes miss neddy that's why unapunguza maumivu popote cos unatafuta....

Jitahid kumficha utamsahau king
He wll be ur California king bed lol

hahahaha Vaislay mokoyo ni shem wangu niache nijifarague

baada ya kusikia utamwagwa utumbo hahahahah

Et dear,mume alikutambulisha kama neddy ni dadake? maana anajishaua et ni shemeji,sijui ndo zile za shemeji shemeji zima taa!!!??

Nimecheka sana kwenye hii conversation yenu

Jamani i miss you so much Vaislay, miss neddy and mamiii mwenyewe ICHANA

halafu sikujua dada yangu kipenzi miss neddy ameachika, na siwezi kumuuliza maana mila zetu haziruhusu
 
Last edited by a moderator:
Usiombe mwanamke akuchoke, hapo ndiyo utaijua shubili ya mapenzi.

Usiombe mwanamke akayazoe maumivu kutokana na yale mabaya unayomtendea na kupelekea maumivu, kisha akamwaga chozi lake, pasipo kulithamini ukarudia tena makosa yale yale, utajuta kubarehe na kuingia katika dunia ya mapenzi.

yaani nimekupa like like..... it's very true
 
Dalili hizi zikianza kujitokeza mwanamme inabidi UONGEZE hela ya kumuachia MAMA ya matumizi yake!

Hela inaondoa mawazo mabaya ya usaliti!
 
Back
Top Bottom