Mwanamke fukara na masikini ni tabu tupu mzigo mzito sana kwa mwanaume

Si ungesema tu mwanamke mdangaji na asie na akili za maisha hafai. Kuhusu umasikini wa kipato sio hoja coz umasikini sio kilema Cha maisha.
 
Huu ni Uzi wa kipumbavu kuwahi kutokea , unaombaje msaada kwa mwanamke. Mambo ya usawa na gender ni mpango wa mashoga, wanawake kuwa bize na kazi badala ya kufanya malezi ni mpango wa mashoga kuendeleza kuua maadili mema
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, wewe ni mpumbavu sana..
 
Nilijiapiza sitakuja kuoa mama wa nyumbani, mwanamke asiye na elimu wala kipato! Hii yote niliipata experience toka kwa marehemu baba yangu alipofariki na kutuacha wadogo sana mikononi mwa mama asiye na kazi, elimu wala kipato chochote.

Yule mama hakuwa mama yangu mzazi lakini alikuwa mtu mwema sana ilibidi atukabidhi kwa ndugu/babu yangu mzaa baba ndipo maisha yaliendelea. Ulipofika muda wa kuoa Nami sikufanya makosa aliyofanya baba yangu, nilisema nitaoa mwanamke ambaye atabeba majukumu ya kulea wanangu ikiwa Mungu ataniondoa duniani mapema.

2015 nilioa mwanamke niliyosoma nae chuo akiwa amepata kazi nami nikiwa na kazi. Mpaka sasa sijajutia support tunayopeana kusukuma maisha, nikiri tu if every other factors remain constant, ikiwa Mungu atanichukua mimi mapema akamuacha huyu mama watoto wangu, basi wanangu wako kwenye mikono salama sana.
 
#oko majimaji: umeongea kwa ukali sana
 
Basi utaolewa wewe ili ( Upate utajiri) ujengewe nyumba, ulishwe , Uvishwe maana unawaonea wivu.

Majukumu ya mke na mume yameainishwa hadi katika vitabu vya mungu.
matajiri ni wangapi Tanzania? huyu kijana ni maskini, ameshikwa pabaya anakuja kulalamika huku.
 
Kwanza kabisa. Kila mtu kivyake.

Ukiamua kuwa kimwaga, sawa.

Ukiamua kuwa hutaki kuwa na mwanamke tegemezi, sawa.

Ni maisha yako.

Ila, kumfanya mwanamke kama mfugo ni kuutukana utu wake.

Kuna ufukara wa mali, unaweza kumalizwa. Mtu anapewa mtaji, elimu etc anabadilika. Halafu kuna ufukara wa mawazo, mtu anakuwa tegemezi tu.

Tutofautishe mawili haya.

Kwangu mwanamke tegemezi ni bonge la turn off. Na hiyo haimaanishi mwanamke ndiye awe provider, haimaanishi hata iwe 50/50.

Ila mtu wa kukinga mkono kila siku kwa sababu yeye mwanamke kwanza anajionesha mjinga.

Na mimi mtu mjinga siwezi kukaa naye. Huyu hawezi hata kuangalia interests zake, ataangalia interests za familia kweli?

Yani issue si kumpa au kutompa pesa, pesa maua. Atapata hata mtaji wa biashara akitaka. Mbona nishafanya hivyo kwa watu baki, itakuwa mke tena?

Issue ni kwamba huyu asiyejua kujiongeza ni mjinga. Na mimi sitaki kukaa na mtu mjinga.

Yani kakosa hata deal la kupata passive income? Siku ikitokea nikamgeuka na kumfukuza atafanya nini?

Wanaume wengi wanaopenda wanawake tegemezi wanapenda kuwa control. Yani inaonekana kama wanajali sana, ila wanachojali ni kwamba huyu mwanamke ni tegemezi kwangu, hana uhuru wa kiuchumi, hawezi kufanya kitu.

Mwanamme anayempenda kweli mwanamke, atataka mwanamke awe na uhuru wa kiuchumi, abaki kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu ya mapenzi yake, si kwa sababu anaogopa akiondoka hawezi kusimama mwenyewe.
 
Kwakweli tishangae tu
Wanatuchosha!

Nasisitiza mwanamke na mwanaume ni watu wawili tofauti
Anytime maisha ya mwanamke yanabadirila
Anytime maisha ya mwanamke yanabadilika kivipi?
Wema Sepetu wa jana ni sawa na waleo?
Au unamaanisha nn unavyosema yanabadirila?😂
 
😀😀😀😀. hatari
 
Kwakweli tishangae tu
Wanatuchosha!

Nasisitiza mwanamke na mwanaume ni watu wawili tofauti
Anytime maisha ya mwanamke yanabadirila
Mwanamke kadiri siku zinavyozidi kwenda anachakaa huku thamani ya mwanaume ikizidi kupanda kwa kasi.
 
Anytime maisha ya mwanamke yanabadilika kivipi?
Wema Sepetu wa jana ni sawa na waleo?
Au unamaanisha nn unavyosema yanabadirila?😂
Wema na WA aina yake ni wapuuzi!
Halafu wema hajatoka familia(circle )masikini/fukara na alikuwa na fursa kibao kachezea mwenyewe.

Namaanisha hao waliozaliwa huko au Kwa namna yyt Hana kitu Leo, huwezi kumfananisha na mwanaume Bado Kuna gap
Mwanaume lzm apambane sn tofauti na mwanamke anaweza kuwezeshwa na wanaume wenye pesa!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Pole sn
Siijui najisikia tu....

Halafu mwanaume wangu simuombi Hela anajua majukumu yake!
Wanawake zenu Wana kazi!

mhh acha kujikuta boss lady kumbe slay queen tu

2024 kausha damu kazi mnayo
 
Kwakweli tishangae tu
Wanatuchosha!

Nasisitiza mwanamke na mwanaume ni watu wawili tofauti
Anytime maisha ya mwanamke yanabadirila

kwa kumtegemea mwanaume ! kwani nyie kutafuta zenu hamuwezi ?

Nyie kausha damu ndio mufilisi ikifatia na betting , ulevi
 
daaah!....hizi nondo unazowapiga nazo sio saizi yao kabisa, hizi nondo za kupigia WEZI....🤣🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…