Mwanamke fukara na masikini ni tabu tupu mzigo mzito sana kwa mwanaume

Mwanamke fukara na masikini ni tabu tupu mzigo mzito sana kwa mwanaume

wanawake fukara na masikini chanzo cha wanaume wengi kufilisika na kufa mapema na wakati mwingine chanzo cha watoto kuwaona baba zao wabaya, ewe mwanaume epuka kuongoza nao huu ni mzigo mzito siku zote za maisha yako na hakuna rangi utaacha kuona hapa duniani

ndugu wana Jf na wasio wana Jf huu ni ukweli ambao wanawake wengi hawatotaka kuusikia na baadhi ya wanaume laini laini na wanaojiona kuwa na huruma juu ya hivi viumbe watakuja hapa nakuoinga ukweli huu

Ijulikane thamani ya mtu haraka haraka inafungamana na alio nao japo mtabisha, wanawake fukara na masikini siyo wakuongozana nao wala kushikamana nao kabisa watakushushia thamani yako kwa namna yeyote ile iwe kwa kupigwa mizinga ,kulogwa, na hata kulishwa limbwata na akishindwa atakuua mazima abakiwe na mali. Hawa siyo wa kuoa au kuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi au urafiki au vyote kwa pamoja kama wewe mwanaume kweli ni mpenda maendeleo na unapenda afya yako ya akili.

usijidanganye na wala wasikudanganye jukumu la mwanaume ni kuhudumia au kuwajibika ukaingia mkenge na kujitwika mzigobwa fukara na masikini nakuanza kusota nao huku ukizisingizia mbingu zimekulaani kumbe wewe mwanaume ndiye uliyejilaani mwenyewe kwa kukosa maarifa

kumbukeni neno hili ili mwanamke awe mke mwema na mama bora ni lazima awe na kipato haijalishi ni kiasi gani, asiwe mvivu na afanyekazi za mikono yake mwenyewe kwa moyo ili kumuingizia kipato binafsi cha kuweza kuwawezesha nyie kusonga mbele halikadhalika na kumuimarisha zaidi kuwa msaidizi mwema kwako ndani ya ndoa nasiyo vinginevyo kwa kujigeuza kuwa mzigo akizania anakuoffer mbususu ya bure.

Mwanamke fukara na masikini atakusaidia nini zaidi ya kukurudisha nyuma kimaendeleo na kukuacha na umasikini wako na tabu zako usote ,uchakae , udhalilike vya kutosha, akukimbie na mwishowe ufe ukachomwe moto.

Nayasema haya kwasasabu ya kuokoa kizazi chetu wanaume tumepungua sana tunaisha na yote yanasababishwa na wanawake fukara na masikini

**Mwanamke fukara na masikini atakutenganisha na wazazi wako akiwemo wa kwanza kabisa ni mama yako, ndugu zako na marafiki zako, atahakikisha anakufarakanisha na kwenu ili uone kwenu ni wa baya uwasahau na uwatenge ndugu zako na wazazi wako, atakuambia mama yako ni mbaya lengo ni usipeleke hela kusaidia wazazi wako ili azifaidi yeye mwenyewe

**Mwanamke fukara na masikini atawalisha wanao sumu ili wamchukie na kumuona baba yao ni mzigo anamtesa mama yao, watato watafundishwa kumuona baba ni mbaya siku zote, tena atawaambi watoto wako kuwa baba yenu ametutelekeza na ana mwanamke mwingine hatutaki tena kumbe siyo

**Mwanamke fukara na masikini upeo wake wa kufikiria ni mdogo, finyu na wakati mwingine hata akili unaona kabisa haipo, hana cha maana anachofikiria zaidi ya kutwa kucha kuwaza haki sawa, kuwaza anakupea mbususu , anakupikia, kuchota maji, kutunza nyumba mara kukuzalia na kukutunzia watoto, anajidanganya na kukuoumbaza kwa haya , huu ni uchawi anakuloga kimbia mwanaume

**Mwanamke wa sampuli hii hana kabisa cha kukushauri zaidi ya kukupigia makelele ya ugomvi mara umbea wa wanaume matajiri na wake zao, marafiki zake waliojipata, kuwaonea wivu husuda na hata kufanya ushirikina ushirikina ili aweze kukudhibiti mwanaume na kukutenga na marafiki zako

**Mwanamke fukara na masikini kutwa kucha kudhurura kudanga, kubadikisha fasheni, tamaa mbaya, na kukulinganisha na familia zingine zenye uchumi imara huku akikuona wewe huna lolote kwake badala ya kukusaidia kusonga mbele

** Mwanamke fukara na masikini hafai kabisa ni mzigo kwa mwanaume, atakubebesha gunia la kwao usaidie wazazi wake, usomeshe ndugu zake na mara ujenge kwao, kutwa yeye ni kuwaza kuichezea akili ya mwanaume ili akajinufaishe nyumbani kwao huko alipotokea, atahakikisha mwanaume unasahau nyumbani kwenu unawaza kwao tuu

** Mwanamke fukara na masikini hafai, kudanganyika ni rahisi mno maana amejaa tamaa mbaya ni msaliti wa hovyo hovyo maana kichwa chake kimejaa mizagamuano na namna atakayo kupea yote ili uzidi kufilisika kwa kukupumbaza na nyapu yake, na wakati mwingine anakuona wewe ndiye unaye mkwamisha siyo mwanaume sahihi kwake.

**Tuliambiwa asiyefanya kazi na asile yeye ni nani hafanya kazi na anakula, asijekujitetea anafanya kazi za nyumbani atoke akatafute kipato maana majukumu ya nyumbani sizo kazi tulizo amriwa ili tule, lazima afanye kazi ya kusokota, kulima, biashara na kadhalika ili apate mapato halali akusaidie pale ulipo kwama, huyu fukara na masikini atakudanganya akijifanya hana nguvu ni dhaifu ili usote mwenyewe alafu uchakae akuache na akucheke

** Mwanamke fukara na masikini upeo wake nifinyu nani rahisi sana kumuibia mume wake chenchi za mboga , pia ijulikane mwanaume siku ukikosa huyo masikini wako na fukara uliyenaye hana cha kukusaidia zaidi mtalala njaa na atakulaumu kwa kuona wewe mwanaume hujui majukumu yako umemlaza yeye na watoto njaa kumbe yeye ni mzigo mkubwa kwako na alipaswa kukusaidia ukikwama.

**Mwanamke masikini nirahisi kukuletea magonjwa ndani huyo hafai achana nae atakuua mapema, yeye kazi yake kubwa ni kukucompare na wanaume wengine, kugawa kila kukicha , ni msaliti wa hovyo , mwepesi mno kudanganyika ma wenye nazo hafai kimbia kabisa

Mwanamke fukara masikini hafai ni mzigo , na hana sifa za kuwa mke mwema wala msaidizi mwema kwa mwanaume, epuka mwanamke fukara , epuka mwanamke masikini
Si ungesema tu mwanamke mdangaji na asie na akili za maisha hafai. Kuhusu umasikini wa kipato sio hoja coz umasikini sio kilema Cha maisha.
 
Huu ni Uzi wa kipumbavu kuwahi kutokea , unaombaje msaada kwa mwanamke. Mambo ya usawa na gender ni mpango wa mashoga, wanawake kuwa bize na kazi badala ya kufanya malezi ni mpango wa mashoga kuendeleza kuua maadili mema
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, wewe ni mpumbavu sana..
 
Nilijiapiza sitakuja kuoa mama wa nyumbani, mwanamke asiye na elimu wala kipato! Hii yote niliipata experience toka kwa marehemu baba yangu alipofariki na kutuacha wadogo sana mikononi mwa mama asiye na kazi, elimu wala kipato chochote.

Yule mama hakuwa mama yangu mzazi lakini alikuwa mtu mwema sana ilibidi atukabidhi kwa ndugu/babu yangu mzaa baba ndipo maisha yaliendelea. Ulipofika muda wa kuoa Nami sikufanya makosa aliyofanya baba yangu, nilisema nitaoa mwanamke ambaye atabeba majukumu ya kulea wanangu ikiwa Mungu ataniondoa duniani mapema.

2015 nilioa mwanamke niliyosoma nae chuo akiwa amepata kazi nami nikiwa na kazi. Mpaka sasa sijajutia support tunayopeana kusukuma maisha, nikiri tu if every other factors remain constant, ikiwa Mungu atanichukua mimi mapema akamuacha huyu mama watoto wangu, basi wanangu wako kwenye mikono salama sana.
 
Yani kuna wanaume mazuzu kweli, Hivi ndivyo ulivyofundishwa huko kwenu.?
Wewe kama mwanaume unatakiwa kazingatia mwanamke wa kuoa yule aliye na akili timamu ( kichwa kipo vizuri), mwenye maadili mema yenye kumpendeza Mungu na jamii kwa ujumla na umpende kweli (Mrembo machoni mwako).
Suala la kutafuta pesa ni wewe mwanaume ni jukumu lako unatakiwa umlishe, umvishe na umtatulie shida zake. Mwanaume ukishaanza kutegemea kipato cha mwanamke wewe bado ni zuzu na hujakamilika labda itokee tu kwa upendo wake akusaidie.
Mwanaume wewe ndio unatakiwa uumize kichwa watoto unawalipiaje ada ya shule, Unaanzishaje mji wako ( kujenga nyumba ya familia yako) na sio kutegemea eti uoe mwanamke mwenye kazi aje akusaidie hayo majukumu utakua ww ni zuzu.
Wazazi wetu wangekua na akili kama zako wasingeoana maana wengi walikua masikini.
#oko majimaji: umeongea kwa ukali sana
 
Basi utaolewa wewe ili ( Upate utajiri) ujengewe nyumba, ulishwe , Uvishwe maana unawaonea wivu.

Majukumu ya mke na mume yameainishwa hadi katika vitabu vya mungu.
matajiri ni wangapi Tanzania? huyu kijana ni maskini, ameshikwa pabaya anakuja kulalamika huku.
 
Kwanza kabisa. Kila mtu kivyake.

Ukiamua kuwa kimwaga, sawa.

Ukiamua kuwa hutaki kuwa na mwanamke tegemezi, sawa.

Ni maisha yako.

Ila, kumfanya mwanamke kama mfugo ni kuutukana utu wake.

Kuna ufukara wa mali, unaweza kumalizwa. Mtu anapewa mtaji, elimu etc anabadilika. Halafu kuna ufukara wa mawazo, mtu anakuwa tegemezi tu.

Tutofautishe mawili haya.

Kwangu mwanamke tegemezi ni bonge la turn off. Na hiyo haimaanishi mwanamke ndiye awe provider, haimaanishi hata iwe 50/50.

Ila mtu wa kukinga mkono kila siku kwa sababu yeye mwanamke kwanza anajionesha mjinga.

Na mimi mtu mjinga siwezi kukaa naye. Huyu hawezi hata kuangalia interests zake, ataangalia interests za familia kweli?

Yani issue si kumpa au kutompa pesa, pesa maua. Atapata hata mtaji wa biashara akitaka. Mbona nishafanya hivyo kwa watu baki, itakuwa mke tena?

Issue ni kwamba huyu asiyejua kujiongeza ni mjinga. Na mimi sitaki kukaa na mtu mjinga.

Yani kakosa hata deal la kupata passive income? Siku ikitokea nikamgeuka na kumfukuza atafanya nini?

Wanaume wengi wanaopenda wanawake tegemezi wanapenda kuwa control. Yani inaonekana kama wanajali sana, ila wanachojali ni kwamba huyu mwanamke ni tegemezi kwangu, hana uhuru wa kiuchumi, hawezi kufanya kitu.

Mwanamme anayempenda kweli mwanamke, atataka mwanamke awe na uhuru wa kiuchumi, abaki kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu ya mapenzi yake, si kwa sababu anaogopa akiondoka hawezi kusimama mwenyewe.
 
Kwakweli tishangae tu
Wanatuchosha!

Nasisitiza mwanamke na mwanaume ni watu wawili tofauti
Anytime maisha ya mwanamke yanabadirila
Anytime maisha ya mwanamke yanabadilika kivipi?
Wema Sepetu wa jana ni sawa na waleo?
Au unamaanisha nn unavyosema yanabadirila?😂
 
Mmekua kero na njaa zenu. Pamoja na serikali kufanya juhudi za kuondoa omba omba Dar tangu enzi za matonya ila kuna kundi kubwa sana la wanawake ombaomba mmesahaulika. Ishini maisha mnayoweza kuyamudu mahitaji yenu kulingana na aina ya maisha mnayotaka kuishi sio kumtupia mwanaume gharama za shida zenu na tamaa za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo ya simu. Kwa namna yoyote ile ukitumia jinsia yako kupata financial leverage wewe ni kahaba tu.
😀😀😀😀. hatari
 
Kwakweli tishangae tu
Wanatuchosha!

Nasisitiza mwanamke na mwanaume ni watu wawili tofauti
Anytime maisha ya mwanamke yanabadirila
Mwanamke kadiri siku zinavyozidi kwenda anachakaa huku thamani ya mwanaume ikizidi kupanda kwa kasi.
 
Anytime maisha ya mwanamke yanabadilika kivipi?
Wema Sepetu wa jana ni sawa na waleo?
Au unamaanisha nn unavyosema yanabadirila?😂
Wema na WA aina yake ni wapuuzi!
Halafu wema hajatoka familia(circle )masikini/fukara na alikuwa na fursa kibao kachezea mwenyewe.

Namaanisha hao waliozaliwa huko au Kwa namna yyt Hana kitu Leo, huwezi kumfananisha na mwanaume Bado Kuna gap
Mwanaume lzm apambane sn tofauti na mwanamke anaweza kuwezeshwa na wanaume wenye pesa!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Pole sn
Siijui najisikia tu....

Halafu mwanaume wangu simuombi Hela anajua majukumu yake!
Wanawake zenu Wana kazi!

mhh acha kujikuta boss lady kumbe slay queen tu

2024 kausha damu kazi mnayo
 
Kwakweli tishangae tu
Wanatuchosha!

Nasisitiza mwanamke na mwanaume ni watu wawili tofauti
Anytime maisha ya mwanamke yanabadirila

kwa kumtegemea mwanaume ! kwani nyie kutafuta zenu hamuwezi ?

Nyie kausha damu ndio mufilisi ikifatia na betting , ulevi
 
Mmekua kero na njaa zenu. Pamoja na serikali kufanya juhudi za kuondoa omba omba Dar tangu enzi za matonya ila kuna kundi kubwa sana la wanawake ombaomba mmesahaulika. Ishini maisha mnayoweza kuyamudu mahitaji yenu kulingana na aina ya maisha mnayotaka kuishi sio kumtupia mwanaume gharama za shida zenu na tamaa za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo ya simu. Kwa namna yoyote ile ukitumia jinsia yako kupata financial leverage wewe ni kahaba tu.
daaah!....hizi nondo unazowapiga nazo sio saizi yao kabisa, hizi nondo za kupigia WEZI....🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom