Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni.
Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au NO(kumbuka hapo bado hujamtongoza bali umemtazama machoni tu!
Mfano atakuwa akiwaza hivi--jamani yule kaka ni mtanashati natamani angekuwa husband wangu!/ aisee yule mkaka mchafu hivi ana mpenzi kweli?)
Sasa baadae ukija kumtongoza akikupa jibu la YES au NO amini anacho kwambia sababu alisha tambua lengo lako kabla kupitia lugha ya macho ulipomtazama na alipata muda wa kukufikiria since day one alipo kuona, Ndio maana mwanaume unaushauriwa kujiweka nadhifu muda wote.
Sababu mwanamke atakavyo kuona siku ya kwanza ndivyo atakavyo kuchukulia.
Hii ni code nimepewa na mdada nami sijawa mchoyo nimewasirisha