Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Yaani una stress sana masikini pole

Ni kweli ninastress za kuona Nzi wakizidi kula mizoga ilhali nyama safi zipo.

Hivi mzoga ukiwa karibu na nyumba yako unatoa harufu utaacha kuwa na stress kweli??
 
Hebu ninukuu sehemu niliyosema kuwa wanawake wasio mabikira wana tabia nzuri na waendelee na tabia yao halafu unionyeshe hapa nimegundua unalazimisha vitu ambavyo sijaviongea ili upate cha kujibu

Na hakuna sehemu nimekataa kuwa ndoa ni mbaya na haifai ila nimesema jamii za kiafrika zinamtaka mwanamke asiachike hata kama ndoa yake ina matatizo na hata kama mume wake anamsaliti au anampiga kila siku ashikilie tu hapo hapo asiondoke

Sasa huo ni unafiki kama kweli wangetaka ndoa zidumu basi wangewaambia na wanaume pia wavumilie madhaifu ya wake zao sasa wewe uliona wapi huo ujinga kwa wazungu halafu ni wazungu gani hao unaosema wanaheshimu sana ndoa?

Na ni wapi huko unakosema wanawake wa huko wanajua thamani ya bikira na hawafanyi umalaya? Unatolea mfano Roma kwanini wanamheshimu Bikira Maria? Kwa swali kama hilo inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mpumbavu usiyetaka kujua mambo kiuhalisia unalazimisha yawe kama unavyoamini wewe yaani unajaribu kuubadilisha ukweli? Pole utapata taabu sana
 
Hilo swali nilitakiwa nikuulize wewe kuwa umeridhika baada ya kuniita mimi kahaba maana naona ulikuwa unajifurahisha tu

Tena mimi ndiyo nilitakiwa nikuite wewe malaya maana hapo ulipo haujaoa ila kazi kuchovya kwa wanawake uchafu tu
Nisamehe ewe mwanamke uliyefanya ukahaba kabla ya ndoa.

Umeridhika??
 
Mizoga? Unamaanisha wote wanawake na wanaume waliofanya ngono kabla ya ndoa ni mizoga siyo?
Ni kweli ninastress za kuona Nzi wakizidi kula mizoga ilhali nyama safi zipo.

Hivi mzoga ukiwa karibu na nyumba yako unatoa harufu utaacha kuwa na stress kweli??
 

The wise man spoken!

asante sana
 

Nimekuelewa vizuri sana hiyo paragraph yako ya pili.

Hiyo paragraph ya kwanza wanawake wa hivyo waliishia enzi za utawala wa Mwinyi.
 
Tunachotaka ni muache kutupa lawama kwa wanawake tu wakati mnajua kabisa kuwa hata wanaume nao wana maovu yao

Sijajua ni kwanini huwa unanitolea hii kauli kila siku.

Lini nimewahi kusema wanaume hawana maovu?
 
Hilo swali nilitakiwa nikuulize wewe kuwa umeridhika baada ya kuniita mimi kahaba maana naona ulikuwa unajifurahisha tu

Tena mimi ndiyo nilitakiwa nikuite wewe malaya maana hapo ulipo haujaoa ila kazi kuchovya kwa wanawake uchafu tu

Niite tuu kwani si nimepiga mzigo kwako My dear.

Humu wanasema Waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba.
 


Mkuu naona umepaniki kichizi.

Pole mpenzi. Ukiachana na mimi Jipange! Jipange.

Bado nakupenda. Nimeona nisikubembelezee PM.
 
aise hatari hadi mfyonzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama mi sipendi panda milima kitonga, mama mi napenda shuka mlima kitonga , ki ki ki ...... Kitongaaa
 
Baharia mwenyewe ni Mimi niliyegundua na kuthibitisha huo msemo "ukiona unaanza kuwaelewa wanawake ujue umekaribia kufa"
 
Upungufu au uhaba wa kitu ndio unaochangia thamani ya hiko kitu.
Hela zikiwa nyingi bila mapenzi, mapenzi yatakuwa na thamani kuliko hela.
Mapenzi tele bila kuthaminiwa, kuthaminiwa kunakuwa na thamani kuliko mapenzi
you name it.

kimoja kikipungua kinapunguza thamani ya kilichopo.
na kutengeneza uhitaji wa kilichopungua.
Kilichopungua kisipopatikana ndani, kitatafutwa nje


Mapenzi yanahitaji kiasi/balancing ya kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…