Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Kama wanaume tu yaani wasiojielewa ndiyo wako wengi kuliko wanaojielewa sasa sijui tunafanyaje yaani
Tatizo ni moja la wanawake wengi wanataka hela wakati wametoka kwenye familia za chini alafu pia hawana thamani sawa sawa na hiyo hela wanayoomba ila Kuna wachache ambao wanajielewa hata ukimpa hela unajisikia amani moyoni unasema huyu anastahili kwanza wanajua kukuliwaza unapokuwa Kwenye hard situation hawana tamaa za hela,wanajua kukucare,washauri wazuri ktk maendeleo mwisho kabisa wanna upendo wa dhati.
 
Muokoe baharia mtonye na sio kumnanga huku
 
Jamani mtupumzishe. Tafteni Pesa Kwanza maana rich men don't complain but these small boys who call themselves hustlers. Kila siku thread mpya kuhusu wanawake
Njoo nikupumzishe piemu mama achana na hawa wenye coins
 
Ni matajiri wangapi wanahudumia vizur lakin wanawake zao wanachepuka? Wamekosa pesa? Wamekosa matunzo? No
Hawatabiriki hawa. Unaweza ukawapa BOT.. akaja kuliwa na dereva toyo
😁😁😁
 
Wow!!

Kama inawezekana waambie moderators wachukue angalau nusu ya likes zote nilizonazo kisha wakupe wewe kwa ajiri ya hii comment. Safi sana mkuu hii comment yako imeshiba mno
Hadi Leo hamjui tunataka Nini!?
Mtakuja kuwachukulia watu poa ,hamwachukulii serious watu walio serious.
 
Ni ujinga tu kuanza kuweka definitions kwamba usifanye hili na hili kwa wanawake maana mwisho wa siku ataku cheat. Hata sisi wanaume tuna cheat pia, wapo wanaofugwa na wanawake na kupewa kila kitu ila mwisho wa siku wana cheat. Ni majuzi tu hapa Pricess Haya Hussein (mke wa mtawala wa Dubai) alimkimbia mume wake na sasa kesi inanguruma London, imagine mke wa mtawala wa dubai anakimbia!! kuna mtu anaitwa Alwaleed Talal ana utajiri wa dola bil 27 ana share mpaka google huko, na ni hivi karibuni tu alikimbiwa na mke wake mrembo princess Ameera, hii ni complicated issue ambayo ni ngumu kuamua nani hasa anaharibu. Sasa wanaume kwamba tuache kuwatunza wake zetu ama wapenzi wetu eti kwa sababu mwisho wa siku wata cheat... Nonsense kabisa!!
 
Hakuna mwanaume ambaye hapendi kumtunza mwanamke wake,Ila hapa kinacho zungumzwa ni ile kutumia pesa kwa lengo la kumtuliza mwanamke ambacho ni kitu hakiwezekani,Pesa humfanya mwanamke avue chupi kirahisi ila cyo kumtuliza
 
Mkuu, kwani wanaume mnapotaka wanawake wenye matiti mazuri na makalio makubwa ninyi huwa mnakuwa nayo?
Ajabu mwanamke anaetaka uwe na pesa nyumbani kwao hawakua na pesa na wala hakuna pesa..mapungufu na madhaifu ya wazazi wao au familia yao kutokua na pesa anataka mtu mwingine ndo ayafidie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…