Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Oohh kwahiyo unashauri kwamba mwanamke anayemtendea mwanaume wake mambo mazuri ndiyo anastahili kupewa hela na mwanaume wake?
Kwa maana hiyo unamaanisha hata mwanaume anayemtendea mwanamke wake mambo mazuri ndiyo anastahili kupewa raha na mwanaume wake?
Kwa maana hiyo unamaanisha hata mwanaume anayemtendea mwanamke wake mambo mazuri ndiyo anastahili kupewa raha na mwanaume wake?
Tatizo ni moja la wanawake wengi wanataka hela wakati wametoka kwenye familia za chini alafu pia hawana thamani sawa sawa na hiyo hela wanayoomba ila Kuna wachache ambao wanajielewa hata ukimpa hela unajisikia amani moyoni unasema huyu anastahili kwanza wanajua kukuliwaza unapokuwa Kwenye hard situation hawana tamaa za hela,wanajua kukucare,washauri wazuri ktk maendeleo mwisho kabisa wanna upendo wa dhati.