Ni ujinga tu kuanza kuweka definitions kwamba usifanye hili na hili kwa wanawake maana mwisho wa siku ataku cheat. Hata sisi wanaume tuna cheat pia, wapo wanaofugwa na wanawake na kupewa kila kitu ila mwisho wa siku wana cheat. Ni majuzi tu hapa Pricess Haya Hussein (mke wa mtawala wa Dubai) alimkimbia mume wake na sasa kesi inanguruma London, imagine mke wa mtawala wa dubai anakimbia!! kuna mtu anaitwa Alwaleed Talal ana utajiri wa dola bil 27 ana share mpaka google huko, na ni hivi karibuni tu alikimbiwa na mke wake mrembo princess Ameera, hii ni complicated issue ambayo ni ngumu kuamua nani hasa anaharibu. Sasa wanaume kwamba tuache kuwatunza wake zetu ama wapenzi wetu eti kwa sababu mwisho wa siku wata cheat... Nonsense kabisa!!