Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Kipi kinaendelea hapa wanabodi???
 
Kuwa na six packs haihusiani na nguvu za kiume.. Baadhi wana nguvu za kuliwa tigo bro,... Hizo nyama tu,.. Nguvu za kiume ni kitu tofauti kabisa,.. Hujasikia wanajeshi wakigongewa?... Kusugua ni kipaji kingine kabisa
 
Edelyn katika jina jingine hahaaa...we usipoolewa na mimi basi Wanaume watanyanyasika tu kwako, yani unahitaji kuwa na Kidume kama mimi ili nikutibu matatizo yako kimahaba na kisaikolojia [emoji4]

Mkuu niko tayari kutoa ushirikiano kadri ya uwezo wangu wote nilionao katika kutimiza hili unalosema hapa!

Ukimtuliza huyu mwanamke utakuwa umefanya jambo kubwa kijamii.
 
Ndio nyie tunawachukulia serious halafu nyie hamuappreciate ,mnatuchukulia poa tu.
Sio vizuri hivyo.. mwenzio akikuchukulia serious Basi na Wewe mchukulie hivyohivyo.
Usitake advantage ya mmoja aliyewahi kukuumiza kumuumiza mwingine ambaye Hana hatia yoyote
Nyie wote baba yenu mmoja
 
Nyie wote baba yenu mmoja
Hiki ndicho ninachokipinga.
Huwezi ukanitreat Mimi vibaya kwa sababu ya makosa ya mtu mwingine,,yaani Ni uonezi na sideserve hayo kabisa.
Mimi Ni Mimi, Mimi Sio mtu mwingine yoyote.
Acheni kutuletea stress za watu wengine,mnatuonea
 
Mkuu niko tayari kutoa ushirikiano kadri ya uwezo wangu wote nilionao katika kutimiza hili unalosema hapa!

Ukimtuliza huyu mwanamke utakuwa umefanya jambo kubwa kijamii.
Ushirikiano gani!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi nyie mnamjua huyo!??
Mna uhakika ana matatizo au mnafanya assumptions ambazo hazipo!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushirikiano gani!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi nyie mnamjua huyo!??
Mna uhakika ana matatizo au mnafanya assumptions ambazo hazipo!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

tufahamishe basi kama unamjua vizuri kuliko sisi
 
Ukitaka usipate tabu na hawa watu, ukiwa naye jione kama haunaye na ukiwa haunaye jione kama unaye. Sheria hii ni muhimu sana, watakuheshimu ukiwapata na hutopata tabu ukiwakosa
 
Ni matajiri wangapi wanahudumia vizur lakin wanawake zao wanachepuka? Wamekosa pesa? Wamekosa matunzo? No
Hawatabiriki hawa. Unaweza ukawapa BOT.. akaja kuliwa na dereva toyo
Na jamaa wa toyo wanawanufaika Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante sana Mzee Baba, hizo baraka zako nimejiandaa kuzipokea hivi punde ngoja kwanza Bibiye atoke kibaruani nianze kumpa lesson taratibu, hakika ataelewa tu somo [emoji39][emoji851]
Mkuu niko tayari kutoa ushirikiano kadri ya uwezo wangu wote nilionao katika kutimiza hili unalosema hapa!

Ukimtuliza huyu mwanamke utakuwa umefanya jambo kubwa kijamii.
 
Ni ujinga tu kuanza kuweka definitions kwamba usifanye hili na hili kwa wanawake maana mwisho wa siku ataku cheat. Hata sisi wanaume tuna cheat pia, wapo wanaofugwa na wanawake na kupewa kila kitu ila mwisho wa siku wana cheat. Ni majuzi tu hapa Pricess Haya Hussein (mke wa mtawala wa Dubai) alimkimbia mume wake na sasa kesi inanguruma London, imagine mke wa mtawala wa dubai anakimbia!! kuna mtu anaitwa Alwaleed Talal ana utajiri wa dola bil 27 ana share mpaka google huko, na ni hivi karibuni tu alikimbiwa na mke wake mrembo princess Ameera, hii ni complicated issue ambayo ni ngumu kuamua nani hasa anaharibu. Sasa wanaume kwamba tuache kuwatunza wake zetu ama wapenzi wetu eti kwa sababu mwisho wa siku wata cheat... Nonsense kabisa!!
Wanawake wenzio watakuja kukusupport kwa hii hoja.
 
Back
Top Bottom