Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Oohh kwahiyo unashauri kwamba mwanamke anayemtendea mwanaume wake mambo mazuri ndiyo anastahili kupewa hela na mwanaume wake?

Kwa maana hiyo unamaanisha hata mwanaume anayemtendea mwanamke wake mambo mazuri ndiyo anastahili kupewa raha na mwanaume wake?
Tatizo ni moja la wanawake wengi wanataka hela wakati wametoka kwenye familia za chini alafu pia hawana thamani sawa sawa na hiyo hela wanayoomba ila Kuna wachache ambao wanajielewa hata ukimpa hela unajisikia amani moyoni unasema huyu anastahili kwanza wanajua kukuliwaza unapokuwa Kwenye hard situation hawana tamaa za hela,wanajua kukucare,washauri wazuri ktk maendeleo mwisho kabisa wanna upendo wa dhati.
 
Oohh kwahiyo unashauri kwamba mwanamke anayemtendea mwanaume wake mambo mazuri ndiyo anastahili kupewa hela na mwanaume wake?

Kwa maana hiyo unamaanisha hata mwanaume anayemtendea mwanamke wake mambo mazuri ndiyo anastahili kupewa raha na mwanaume wake?
Kuna mwanamke mwengine ataasipokuomba hela unajikuta wewe mwenyewe ndo unampa Sasa wewe unataka nigharamie kwa mwanamke mwenye akili fupi ili iweje?
 
Mkuu, kwani wanaume mnapotaka wanawake wenye matiti mazuri na makalio makubwa ninyi huwa mnakuwa nayo?
Hapo umezungumzia swala lililo nje ya uwezo wa mtu kwa maana maumbile ni zaidi ya uwezo wa mtu lakini swala la kua na pesa hilo lipo ndani ya uwezo wa mtu either kuamua kuzitafuta au kutozitafuta hivyo swala la shepu?matiti mazuri lipo nje ya uwezo wa mtu...
 
Kama ambavyo unaona mimi sijawahi kuongelea jema lolote kuhusu wanaume na wewe naomba unionyeshe comment yako yoyote kwenye thread yoyote ambayo umewahi kuongelea jema lolote kuhusu wanawake you always see women as a problem and what about men? Innocent huh? Siyo bure hata wewe umeshawahi kuumizwa kwenye mapenzi masikini pole yote maisha tu

Asante sana nimeipokea pole yako!
 
Kama wanaume tu yaani wasiojielewa ndiyo wako wengi kuliko wanaojielewa sasa sijui tunafanyaje yaani

Kwa mujibu wa hiyo comment niliyoijibu wanawake wengi niliokutana nao hawajielewi! sasa kama na wewe umekutana na wanaume wasiojielewa basi sikubishii.
 
Kiukweli katika vitu ambavyo nina vihepuka sasa hivi ni kumchukulia serious mwanamke! maana hata wao wenyewe hawajichukulii serious
Ndio nyie tunawachukulia serious halafu nyie hamuappreciate ,mnatuchukulia poa tu.
Sio vizuri hivyo.. mwenzio akikuchukulia serious Basi na Wewe mchukulie hivyohivyo.
Usitake advantage ya mmoja aliyewahi kukuumiza kumuumiza mwingine ambaye Hana hatia yoyote
 
Labda nikwambie kitu!

Mwanaume ni rahisi sana kumchukulia serious mwanamke bila kuwepo na condition yoyote ile. Lakini mwanamke ni nadra sana kumchukulia serious mwanaume ambaye hana chochote cha ku offer!

Mara nyingi mwanamke ana mpa muda wake na attention mwanaume ambaye ni beneficial kwake kwa maana ya kumpa vimisaada vya hapa na pale uhususani hela. Na siku misaada hyo ikikata unakuwa ndio mwisho wa kumchukulia serious mwanaume huyo.

Nafahamu sio wanawake wote wako hivyo, lakini sasa hao ambao hawako hivyo ni wangapi ukilinganisha na waliko hivyo?! kwa experience yangu mimi wengi wako hivyo.

Cha msingi ninachokifanya sasa hivi ni kujijali kwanza mimi, yaani na mtreat mtu kulingana na alivyoanza kunichukulia.
 
Upendo Ni Zaidi ya pesa.
Mwanamke anahitaji upendo, sijui kwanini mnashindwa kuelewa hili... sometimes hatuji kwenu kufwata pesa zenu.
 
Kama nimekutoa Bikra nitakupa chochote kwa kadiri ya uwezo wangu.

Nitakuhonga pesa ndogo ndogo. Laki tano hazitacheza mbali na Pochi yako.

Wakuu kama kuna mwanamke ulimtoa bikra au uliwatoa bikra. Watafuteni muwape pesa.

Bikra ni chanzo cha kusafisha nyota Mkuu.
Lakini ukitaka kujitia Mikosi na majanga tafuta haya manunga embe.

Yaani litakufilisi mpaka ukome. Mambo mengi yatasimama.

Ukioa limwanamke lisilo na bikra unachafua nyota yako. Yaani hutaenda popote kimaisha.

Kama unamagari mawili basi ulipaswa uwe na magari kumi. Ila huyo Mwanamke ndiye amekuzibia nyota yako.

Matajiri wote wanajua hii habari ya bikra. Wengine wasiooa mabikra ndio huwalaghai mabinti na kutoa bikra zao ili kuendeleza utajiri wao.

Watakaonielewa ni Wachache.
 
Jeff Bezos tajiri namba 1 duniani naye alitalakiana mwanzoni mwa mwaka huu huu, ngoja akina Marrianah wazidi kukariri kuwa pesa ndiyo kila kitu.
Ni ujinga tu kuanza kuweka definitions kwamba usifanye hili na hili kwa wanawake maana mwisho wa siku ataku cheat. Hata sisi wanaume tuna cheat pia, wapo wanaofugwa na wanawake na kupewa kila kitu ila mwisho wa siku wana cheat. Ni majuzi tu hapa Pricess Haya Hussein (mke wa mtawala wa Dubai) alimkimbia mume wake na sasa kesi inanguruma London, imagine mke wa mtawala wa dubai anakimbia!! kuna mtu anaitwa Alwaleed Talal ana utajiri wa dola bil 27 ana share mpaka google huko, na ni hivi karibuni tu alikimbiwa na mke wake mrembo princess Ameera, hii ni complicated issue ambayo ni ngumu kuamua nani hasa anaharibu. Sasa wanaume kwamba tuache kuwatunza wake zetu ama wapenzi wetu eti kwa sababu mwisho wa siku wata cheat... Nonsense kabisa!!
 
Back
Top Bottom