Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni moja la wanawake wengi wanataka hela wakati wametoka kwenye familia za chini alafu pia hawana thamani sawa sawa na hiyo hela wanayoomba ila Kuna wachache ambao wanajielewa hata ukimpa hela unajisikia amani moyoni unasema huyu anastahili kwanza wanajua kukuliwaza unapokuwa Kwenye hard situation hawana tamaa za hela,wanajua kukucare,washauri wazuri ktk maendeleo mwisho kabisa wanna upendo wa dhati.Kama wanaume tu yaani wasiojielewa ndiyo wako wengi kuliko wanaojielewa sasa sijui tunafanyaje yaani
Muokoe baharia mtonye na sio kumnanga hukuDah ku*****ke kuna boya moja linakaa Moro lina gereji linapigwa mizinga na dem analizarau kis***nge. Yaan boya linamtumia dem daily hela ya kula 5k na gharama zingne na gheto kampangishia,,,na simu kali. Afu kuna kiboya flan ivi kinahongwa na huyo dem kwa hela za huyo jamaaa. Na anakazwa ndan ya hilo gheto.
Ww Ib ni faraaa
Wanawake ndo mnajielewa? We feministKama wanaume tu yaani wasiojielewa ndiyo wako wengi kuliko wanaojielewa sasa sijui tunafanyaje yaani
Njoo nikupumzishe piemu mama achana na hawa wenye coinsJamani mtupumzishe. Tafteni Pesa Kwanza maana rich men don't complain but these small boys who call themselves hustlers. Kila siku thread mpya kuhusu wanawake
we Endelea tu.sio kweli mbona mi wangu namgegeda mwenyewe tu
Yaani nikiwa na mihela mie nitakuwa kila leo nabadilisha mrembo wala hamna preshahuwezi kuwa na hela halafu mapenz, ,i b ado yakakutesa
utakuwa haupo sawa
Kat yangu na wew nan kaumia?Mbona unaumia kwa mambo yasiyokuhusu
NakubaliNa hao wasiojielewa(kwa mujibu ya hii comment) wako wengi sana kuliko wanaojielwa.
Wao wanasema wanataka pesa bro.
😁😁😁Ni matajiri wangapi wanahudumia vizur lakin wanawake zao wanachepuka? Wamekosa pesa? Wamekosa matunzo? No
Hawatabiriki hawa. Unaweza ukawapa BOT.. akaja kuliwa na dereva toyo
Na hao wasiojielewa(kwa mujibu ya hii comment) wako wengi sana kuliko wanaojielwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wanaume tu yaani wasiojielewa ndiyo wako wengi kuliko wanaojielewa sasa sijui tunafanyaje yaani
Hadi Leo hamjui tunataka Nini!?Wow!!
Kama inawezekana waambie moderators wachukue angalau nusu ya likes zote nilizonazo kisha wakupe wewe kwa ajiri ya hii comment. Safi sana mkuu hii comment yako imeshiba mno
Hakuna mwanaume ambaye hapendi kumtunza mwanamke wake,Ila hapa kinacho zungumzwa ni ile kutumia pesa kwa lengo la kumtuliza mwanamke ambacho ni kitu hakiwezekani,Pesa humfanya mwanamke avue chupi kirahisi ila cyo kumtulizaNi ujinga tu kuanza kuweka definitions kwamba usifanye hili na hili kwa wanawake maana mwisho wa siku ataku cheat. Hata sisi wanaume tuna cheat pia, wapo wanaofugwa na wanawake na kupewa kila kitu ila mwisho wa siku wana cheat. Ni majuzi tu hapa Pricess Haya Hussein (mke wa mtawala wa Dubai) alimkimbia mume wake na sasa kesi inanguruma London, imagine mke wa mtawala wa dubai anakimbia!! kuna mtu anaitwa Alwaleed Talal ana utajiri wa dola bil 27 ana share mpaka google huko, na ni hivi karibuni tu alikimbiwa na mke wake mrembo princess Ameera, hii ni complicated issue ambayo ni ngumu kuamua nani hasa anaharibu. Sasa wanaume kwamba tuache kuwatunza wake zetu ama wapenzi wetu eti kwa sababu mwisho wa siku wata cheat... Nonsense kabisa!!
Ajabu mwanamke anaetaka uwe na pesa nyumbani kwao hawakua na pesa na wala hakuna pesa..mapungufu na madhaifu ya wazazi wao au familia yao kutokua na pesa anataka mtu mwingine ndo ayafidie....
Wanawake ndo mnajielewa? We feminist