King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,053
mwenzako katoka kutoa milioni 3 na nusu pale resort ili atolewe mnaso wa topeni.. we endelea tu mzee baba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mtupumzishe. Tafteni Pesa Kwanza maana rich men don't complain but these small boys who call themselves hustlers. Kila siku thread mpya kuhusu wanawake
The truth is wanawake hawajui nini wanataka. Maamuzi yao si logical.. yanategemea emotions. Ndio maana anaeza akasema anahitaj pesa.. kesho yake akahitaji kingine kabisa.
So usiwachukulie serious.
Dah ku*****ke kuna boya moja linakaa Moro lina gereji linapigwa mizinga na dem analizarau kis***nge. Yaan boya linamtumia dem daily hela ya kula 5k na gharama zingne na gheto kampangishia,,,na simu kali. Afu kuna kiboya flan ivi kinahongwa na huyo dem kwa hela za huyo jamaaa. Na anakazwa ndan ya hilo gheto.
Ww Ib ni faraaa
Mpe hela mwanamke ili avue chupi kirahis, ila usimhudumie.Your manipulation game is too old!
kwamba unasisitiza wanaume watafute kwanza hela wakishazipata ndio waanze kufikiria wanawake, wanawake hao hao ambao ukiwahonga Iphone X wanaitumia kutuma picha za uchi kwa vi-boyfriend vyao vya zamani vilivyowatoa bikra, wanawake hao hao ambao ukiwahonga IST wanaigeuza gest kwa kugongewa na visharobaro vyenye six packs, wanawake hao hoa ambao ukiwapangishia apartment wanaligeuza danguro na siku ukitaka kuja anakwambia umpe taarifa kwanza ili usije ukajionea maajabu.
Nyie watu hamna jema!! nawahurumia tu wanaume ambao bado wana waamini na kufuata ushauri wenu kama huu unaoutoa hapa! eti tafutenj hela..[emoji23][emoji23]
mpe pole sana na atawahi kufa huyo jamaa.Dah ku*****ke kuna boya moja linakaa Moro lina gereji linapigwa mizinga na dem analizarau kis***nge. Yaan boya linamtumia dem daily hela ya kula 5k na gharama zingne na gheto kampangishia,,,na simu kali. Afu kuna kiboya flan ivi kinahongwa na huyo dem kwa hela za huyo jamaaa. Na anakazwa ndan ya hilo gheto.
Ww Ib ni faraaa
volume inakata na kurudi hasa spika ya kushoto walipokaa wenye pochi nene, huku kwetu iko sawaKuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa"
Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa mapenzi,Ila cha ajabu wanawake wanadai mapenzi ni pesa,Sasa huwa najiuliza ni kitu gani huwafanya matajiri hawa kulia licha ya kuwahudumia wanawake wao kwa kila kitu,
Ndo nikagundua haya[emoji116][emoji116]
[emoji117]Ukimnunulia simu mpenzi wako tambua kuwa sisi tutampigia video call usiku na atatuonyesha chupi aliyo vaa tena uliyo mnunulia wew,,Usipanic bro,ni kiherehere chako.
[emoji117]Ukimpangishia nyumba,Tambua sisi tutaingia humo na kumkaza vizuri tena na maji tutaoga,,,Acha kulia,jifute machozi bro ni sifa zako zimekuponza.
[emoji117]Ukimnunulia gari tambua kuna bishoo flani utakutana nalo linaliendesha, tena likiwa na demu mwingne,,,,Tulia fala wew nikueleze.
[emoji117]Mwanamke ukizidisha kumhonga kumbuka ndo mwanzo wa kukudharau mpaka kukuita majina ya ajabu mbele za mashoga zake,,,,Acha ufala bro,hzo pesa jenga nyumba upangishe.
[emoji117]Wanawake wakiwa mbele za watu uta wasikia "Eti oooh mwanaume pochi bhana ma-six packs yanini" Huku wakiona mwanaume mwenye six packs akili zina wahama,Bro nikwambie tu ukweli,kama mwanaume kakupendea pesa ila tambua lzm awe na kijana aliyejazia wakufanyia show off kwa mashoga zake,,,Tulia nikupe maujanja pimbi wew.
[emoji117]Hii Dunia ya sasa kitu cha kujivunia ni nguvu za kiume Alafu pesa,ukiwa navyo hvyo vitu viwili basi ujue hii Dunia ni yako,,,,Sasa kunguni wew jifanye kutafuta pesa tu huku nguvu za kiume huna,hzo pesa zitaishia kwa mabisho wenye six packs.
Volume iko Sawa huko,,,,??
wanateseka sanaaaa wenye pesahuwezi kuwa na hela halafu mapenz, ,i b ado yakakutesa
utakuwa haupo sawa
Tumuwekee na audio sijui ndio kausikia itakuaRef. Kitonga by G nako
Hao wanawake wasiojielewa tu.... Chumba akipangisha Y basi hakuna X wala kiumbe mwingine yeyote atalala humo zaidi ya Y mwenyewe.... The same na huko kwenye magari na nini na nini.........
Your manipulation game is too old!
kwamba unasisitiza wanaume watafute kwanza hela wakishazipata ndio waanze kufikiria wanawake, wanawake hao hao ambao ukiwahonga Iphone X wanaitumia kutuma picha za uchi kwa vi-boyfriend vyao vya zamani vilivyowatoa bikra, wanawake hao hao ambao ukiwahonga IST wanaigeuza gest kwa kugongewa na visharobaro vyenye six packs, wanawake hao hoa ambao ukiwapangishia apartment wanaligeuza danguro na siku ukitaka kuja anakwambia umpe taarifa kwanza ili usije ukajionea maajabu.
Nyie watu hamna jema!! nawahurumia tu wanaume ambao bado wana waamini na kufuata ushauri wenu kama huu unaoutoa hapa! eti tafutenj hela..[emoji23][emoji23]
Kama ambavyo unaona mimi sijawahi kuongelea jema lolote kuhusu wanaume na wewe naomba unionyeshe comment yako yoyote kwenye thread yoyote ambayo umewahi kuongelea jema lolote kuhusu wanawake you always see women as a problem and what about men? Innocent huh? Siyo bure hata wewe umeshawahi kuumizwa kwenye mapenzi masikini pole yote maisha tuWow!!
Kama inawezekana waambie moderators wachukue angalau nusu ya likes zote nilizonazo kisha wakupe wewe kwa ajiri ya hii comment. Safi sana mkuu hii comment yako imeshiba mno
Kama wanaume tu yaani wasiojielewa ndiyo wako wengi kuliko wanaojielewa sasa sijui tunafanyaje yaaniNa hao wasiojielewa(kwa mujibu ya hii comment) wako wengi sana kuliko wanaojielwa.