The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri.
Utashangaa mwanamke akijua unachepuka anakuuliza, umekosa nini kwangu ama nina madhaifu gani hadi uchepuke na mwanamke mwingine.
Kitu wasichokijua wanawake wote ni kwamba mwanaume hachepuki kwa sababu ana mwanamke mwenye sura mbaya ama sura nzuri, ama masikini ama tajiri, mwanaume anachepuka tu kutii kiu yake.
Juzi mwanamke wangu mmoja amenishika na hard evidence kwamba nachepuka, halafu akakuta mwanamke naechepuka nae ni mbovu mara 10 kuliko yeye, ananiuliza nimekosa nini kwake hadi nichepuke na mwanamke wa aina ile.
Huyu mwanamke na wanawake wengine wasichokijua ni kwamba wanaume ni kama fisi, fisi anaweza kula mizoga, mifupa na hata akawinda mnyama mzima alienona akamla, so wanyama wazima wakimkimbia fisi haina maana kwamba fisi hana alternative, yeye anaendelea kuishi maisha safi tu.