Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅😅😅😅 hao wanaolalamika ni wale wapole tu! Ukikutana na demu chizi utafurahia show mbonaWanawake bana mnajuaga kujipa sifa..! 😄
Hicho kisasi cha mwanamke ni kipi? Mimi naona wanawake wanachitiwa kila siku na waume zao na ushahidi wanao na hamna kisasi chochote zaidi ya kulia lia tu na kukimbia kwa wazee/wachungaji nk kwenda kulalamika. Asilimia 95 ya wanawake hata mwanaume akichepuka hawafanyi chochote zaidi ya kulia na kulalamika na mwisho kusamehe.
Ubaya wa wanawake wengi lazma akulipizieUbaya upo hapa.
Mwanaume ukichepuka kwa kuibia kamwe huwezi kumpa maumivu mwanamke hata akijua bhasi kitakachotokea nae ataanza kuchepuka na ubaya sasa ATAKUZALIA MTOTO SIO WAKO UTAMLEA MPAKA UNAKUFA UKIAMINI NI WAKO.
Eeh wazungu ndio wametaka kuleta style yao ya kishamba kutuharibia uzaziMkuu unaonekana hujasoma vizuri historia, swala la mwanaume kua na mwanamke mmoja ni "invention" ambayo imekuja juzi tu, hapo kabla jamii karibu zote zilikua zina intertain polygamy na hakukua na tatizo lolote. Hata kwenye vitabu vitakatifu wafalme wa zamani walikua na mamia ya wanawake na bado Mungu alikua pamoja nao.
Ni zaidi ya 95% mkuu. Wanaolipa kisasi hua hawazidi 2%.Wanawake bana mnajuaga kujipa sifa..! 😄
Hicho kisasi cha mwanamke ni kipi? Mimi naona wanawake wanachitiwa kila siku na waume zao na ushahidi wanao na hamna kisasi chochote zaidi ya kulia lia tu na kukimbia kwa wazee/wachungaji nk kwenda kulalamika. Asilimia 95 ya wanawake hata mwanaume akichepuka hawafanyi chochote zaidi ya kulia na kulalamika na mwisho kusamehe.
Wenyewe wanaita ustaarabu, na sisi tukafata kama makondoo. Haya sasa na ushoga tufate hivyo hivyo si wazungu wameshasemaEeh wazungu ndio wametaka kuleta style yao ya kishamba kutuharibia uzazi
Kwenye ushoga watu wameruka kimangoWenyewe wanaita ustaarabu, na sisi tukafata kama makondoo. Haya sasa na ushoga tufate hivyo hivyo si wazungu wameshasema
Ya kishamba na kipumbavu.Eeh wazungu ndio wametaka kuleta style yao ya kishamba kutuharibia uzazi
😅😅😅😅😅😅 mke mmoja ni jela ya kujitakia ndio maana watu wanaoa mmoja na kuanza kuvuruga wengine mtaani! Ni asili ya kiume tu kutamani tamani vizuri japo sio lazima uchepukeYa kishamba na kipumbavu.
Wazungu wako very strategic, walianza na story za mke mmoja, walivyoona sasa tunaanza kuingia kingi wanakuja na story ya wanaume kuoana. Walianzia mbali sana.
Mimi kiukweli mke mmoja ni nadharia tu na vile siamini kwenye hizo dini, mwanamke mmoja namsikia kwenye redio ila mimi mke siku nikiamua kuoa ni zaidi ya mmoja.
Wanawake bana ukiwasikiliza huku mitandaoni wanavyojitutumua "we unajua kisasi cha mwanamke.." waapi hamna lolote bana. 😄 Akichitiwa apo ni kuanza ku panick, kulia lia na kulalamika. Sanasana kama ana roho ngumu sana ndio na yeye atachepuka hapo ndio anaona kalipa kisasi wakati infact karudia kile ambacho wewe tayari ulishafanya 😆😆Ni zaidi ya 95% mkuu. Wanaolipa kisasi hua hawazidi 2%.
Huyu mwenyewe ameshanisamehe, amelia wee na kunisamehe na leo jioni namtafuna kama kawaida.
Kiuhalisia na kihisia wanaume ndio hua tuna visasi vikubwa sana tukisalitiwa.
Hutakiwi kukubali hata nukta😅Oyaaa mke amekukuta unagonga live bado unakataaa[emoji28][emoji28]. Vijana wa hovyo bhana[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa jinsi waafrika tulivyo na akili mbovu, kuna siku tu tutakuja kuukubali ushoga kama "ustaarabu" kwavile tu umeletwa na wazungu. Naamini hata hili la mke mmoja halikukubalika kirahisi ila with time watu wamekuja kukubali na kulitetea. Kuna siku watu watasimama hapa hapa JF na kuanza kumshambulia mtu yoyote anaepinga ushoga hamtaamini.Kwenye ushoga watu wameruka kimango
Na akilipiza Omba ujuee.. Usipojua vimeumeanaUbaya wa wanawake wengi lazma akulipizie
Ni kweliWanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo
Hawajui hawa mashaitwan huyu!Usishindane na wanawake kuchepuka..
Utalia wewe...
Usione ufahari kukutwa umechepuka ukaona we mjanja..
Huwajui wanawake wewe
Ila hiyo asilimia 5 wanaolipiza, show yao unaionaje?Wanawake bana mnajuaga kujipa sifa..! [emoji1]
Hicho kisasi cha mwanamke ni kipi? Mimi naona wanawake wanachitiwa kila siku na waume zao na ushahidi wanao na hamna kisasi chochote zaidi ya kulia lia tu na kukimbia kwa wazee/wachungaji nk kwenda kulalamika. Asilimia 95 ya wanawake hata mwanaume akichepuka hawafanyi chochote zaidi ya kulia na kulalamika na mwisho kusamehe.
Kwani shida ni yeye kugawa? Unahisi njia pekee ya mwanamke kukuumiza ni kugawa mbususu yake kwa mwanaume mwingine? Loh, bado sana.Wanawake bana ukiwasikiliza huku mitandaoni wanavyojitutumua "we unajua kisasi cha mwanamke.." waapi hamna lolote bana. [emoji1] Akichitiwa apo ni kuanza ku panick, kulia lia na kulalamika. Sanasana kama ana roho ngumu sana ndio na yeye atachepuka hapo ndio anaona kalipa kisasi wakati infact karudia kile ambacho wewe tayari ulishafanya [emoji38][emoji38]
Wanawake bana tulieni, nyie ni wakwetu tunawajua, hamna lolote. [emoji1][emoji1]