Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

Ubaya upo hapa.

Mwanaume ukichepuka kwa kuibia kamwe huwezi kumpa maumivu mwanamke hata akijua bhasi kitakachotokea nae ataanza kuchepuka na ubaya sasa ATAKUZALIA MTOTO SIO WAKO UTAMLEA MPAKA UNAKUFA UKIAMINI NI WAKO.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hao wanaolalamika ni wale wapole tu! Ukikutana na demu chizi utafurahia show mbona
 
Eeh wazungu ndio wametaka kuleta style yao ya kishamba kutuharibia uzazi
 
Ni zaidi ya 95% mkuu. Wanaolipa kisasi hua hawazidi 2%.

Huyu mwenyewe ameshanisamehe, amelia wee na kunisamehe na leo jioni namtafuna kama kawaida.

Kiuhalisia na kihisia wanaume ndio hua tuna visasi vikubwa sana tukisalitiwa.
 
Eeh wazungu ndio wametaka kuleta style yao ya kishamba kutuharibia uzazi
Ya kishamba na kipumbavu.

Wazungu wako very strategic, walianza na story za mke mmoja, walivyoona sasa tunaanza kuingia kingi wanakuja na story ya wanaume kuoana. Walianzia mbali sana.

Mimi kiukweli mke mmoja ni nadharia tu na vile siamini kwenye hizo dini, mwanamke mmoja namsikia kwenye redio ila mimi mke siku nikiamua kuoa ni zaidi ya mmoja.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mke mmoja ni jela ya kujitakia ndio maana watu wanaoa mmoja na kuanza kuvuruga wengine mtaani! Ni asili ya kiume tu kutamani tamani vizuri japo sio lazima uchepuke
 
Ni zaidi ya 95% mkuu. Wanaolipa kisasi hua hawazidi 2%.

Huyu mwenyewe ameshanisamehe, amelia wee na kunisamehe na leo jioni namtafuna kama kawaida.

Kiuhalisia na kihisia wanaume ndio hua tuna visasi vikubwa sana tukisalitiwa.
Wanawake bana ukiwasikiliza huku mitandaoni wanavyojitutumua "we unajua kisasi cha mwanamke.." waapi hamna lolote bana. ๐Ÿ˜„ Akichitiwa apo ni kuanza ku panick, kulia lia na kulalamika. Sanasana kama ana roho ngumu sana ndio na yeye atachepuka hapo ndio anaona kalipa kisasi wakati infact karudia kile ambacho wewe tayari ulishafanya ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Wanawake bana tulieni, nyie ni wakwetu tunawajua, hamna lolote. ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Tatizo ni mkeo akianza kuliwa nje na kuanza kukukwepa faragha๐Ÿ˜… utaelewa vizuri kwamba kipi ni tunda kati ya korosho au bibo!
 
Kwenye ushoga watu wameruka kimango
Kwa jinsi waafrika tulivyo na akili mbovu, kuna siku tu tutakuja kuukubali ushoga kama "ustaarabu" kwavile tu umeletwa na wazungu. Naamini hata hili la mke mmoja halikukubalika kirahisi ila with time watu wamekuja kukubali na kulitetea. Kuna siku watu watasimama hapa hapa JF na kuanza kumshambulia mtu yoyote anaepinga ushoga hamtaamini.
 
Ila hiyo asilimia 5 wanaolipiza, show yao unaionaje?
 
Kwani shida ni yeye kugawa? Unahisi njia pekee ya mwanamke kukuumiza ni kugawa mbususu yake kwa mwanaume mwingine? Loh, bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ