Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupenda mke wanguJunior huna adabu
Hakuna utii pasi na kuogopa! Mwanamke anaependa kweli anamuogopa mwanaume wake. Wote humu ni watu wazima kwahiyo tunaelewa tunachokizungumza.Mwanamke kama anakupenda atakutii na sio kukuogopa...
Watoto wa 2000 haya mambo ni magumu kidogo kueleweka kwenu kwa sababu mmekulia katika ulimwengu ambao tayari upo corrupted na feminism.We jamaa umepoteza muda wako kuandika nonsense
📌📌Am talking about the respect that stems from knowing you are a man of strength, principle and authority. Without that dynamic modern women will test your limits, disrespect you and challenge your position at every opportunity.Ni ngumu sana mwanamke kukuheshimu ukiwa mwema sana kwake. Mwanamke anamuhesmimu mwanaume anaemuogopa. Hapa siongelei physical appearance, violence au abuse.
Am talking about the respect that stems from knowing you are a man of strength, principle and authority. Without that dynamic modern women will test your limits, disrespect you and challenge your position at every opportunity.
Wanawake wa kisasa wengi hawawaheshimu wanaume walionao. Wanaona wema na sacrifices za mwanaume ni udhaifu sio uimara na kuwapa wanaume kama hao majina ya dhihaka mfano danga, msukuma wangu n.k.
Kama unampa kipaumbele, una-sacrifice furaha yako kwa ajiri yake, unafuata kila anachosema hata kama kinaingiliana na bajeti, msimamo au ratiba zako, atakuona wewe ni dhaifu na hapo ndipo nae ataanza kupigania madaraka kwenye hayo mahusiano kwa sababu katika macho yake wewe haukidhi vigezo vya kuwa kiongozi.
Wanawake wa kisasa wamepumbazwa kwamba traditional male leadership ni utumwa, kwaiyo wanataka ku-control mahusiano hapo hapo wanataka mwanaume utimize wajibu wako wa kama provider, protector na problem solver. Kinachosikitisha wapo wanaume wengi wamekubaliana na huu upuuzi na kuishia kudharaulika kwenye mahusiano yao.
Imagine you embody authority, decisiveness and unshakable principles. You set boundaries, enforce them and refuse to tolerate disrespect. Suddenly her behaviour changes because she knows there are consequences to stepping out of the line. Women crave strong leadership even if their modern ideologies tell them otherwise.
Ukweli wa mapenzi na heshimu ni kwamba: mwanamke hakupendi kwa wema na sacrifices zako kwake. Anakupenda kwa uimara wako na uwezo wa kuongoza.
Vilevile zingatia sana, utakapompata mwanamke mtiifu, anakuheshimu na kukubaliana na uongozi wako bila ya yeye kutaka kupigania madaraka- basi umeokota dhahabu, nyakati tunazoishi wanawake wa hivyo wapo wachache sana,
You should value her because she is the kind of woman who will make a home. She is not there to compete with you, she knows her strength lies in complementing your role not challenging it.
Kijana achana na wanawake wapigania madaraka. Be the man she respects, not the one she manipulates. Na kama hawezi kunyooka pamoja na uimara wako basi achana nae. Unastahili amani na heshima.
That's masculinity, that's leadership, that's what you were born for.
Kauoga lazima kawepo ndio utiifu uje. Unafikiri kwanini watu wanamuogopa Mungu?, si kwasababu kawatishia atawatumbukiza kwenye tanuri la moto wasipofuata anachotakaMwanamke kama anakupenda atakutii na sio kukuogopa...
Gentleman, real man, nice guy, ukiitwa hayo majina na mwanamke jifanyie tathminiKaa chonjoo anapoanza kukuita Gentlemen... Yaaani wewe ustaraabu wako umepitiliza unakaribia kuwa ujingaa.
A foolish man that fall in love blindly and spend money on women careless. You may not be msukuma by tribal, but if you have that character above you will be tagged by that code title of "msukuma wangu"Msukuma wangu what does it mean?!
Kwani title liwe kabila la wasukuma?A foolish man that fall in love blindly and spend money on women careless. You may not be msukuma by tribal, but if you have that character above you will be tagged by that code title of "msukuma wangu"
Jiwe aendelee kupumzika kwa amani
Much appreciated comradeWelcome back@Natafuta Ajira ! I absolutely love reading your threads! I haven't read a single paragraph yet, but I'm 100% sure that you have written some really sensible stuff in it. I'll read it as soon as I'm settled.