Mwanamke hawezi kukuheshimu kama hakuogopi

We jamaa umepoteza muda wako kuandika nonsense
Watoto wa 2000 haya mambo ni magumu kidogo kueleweka kwenu kwa sababu mmekulia katika ulimwengu ambao tayari upo corrupted na feminism.

Your brains have been programmed that to be a real man/gentleman you must lower your standard and accept woman's rebellious, disrespects and reckless life

Kaka zenu tupo hapa tutawaelewesha hivyo hivyo taratibu kwa sababu tunajua umuhimu wa jamii yenye wanaume imara.
 
📌📌Am talking about the respect that stems from knowing you are a man of strength, principle and authority. Without that dynamic modern women will test your limits, disrespect you and challenge your position at every opportunity.
Ukweli wa mapenzi na heshimu ni kwamba: mwanamke hakupendi kwa wema na sacrifices zako kwake. Anakupenda kwa uimara wako na uwezo wa kuongoza.
Vilevile zingatia sana, utakapompata mwanamke mtiifu, anakuheshimu na kukubaliana na uongozi wako bila ya yeye kutaka kupigania madaraka- basi umeokota dhahabu, nyakati tunazoishi wanawake wa hivyo wapo wachache sana,📌📌...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…