kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Natumai mu wazima humu ndani,
Kiukweli leo nimeamini mwanamke unayemfatilia sana na kumchunga ndiye mwanamke usiyeweza kumuacha kirahisi. Hili nalizungumzia hapa siropoki tu kutokana na kiporo nilichokula ila nina ushahidi nalo kwangu na washkaji na marafiki zangu kwa ujumla.
Mwanamke usiyempenda usimfatilie sana muache na yeye atafute atakaye mpenda labda ndo fungu lake la kujenga familia.
NAWASILISHA