kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Kweli ila baada ya kufatilia ule uzi wa NILIKULA TUNDA KIMASIHARA , na nkaona jinsi wake za watu, na madem wanavyoliwa ....apa ni full survelliance 24/7 na full tracking kwa mtu wanguMambo ya kufuatiliana sio!!
Thubutuuuu!!!trust no one[emoji118]Uaminifu ndiyo mpango mzima mambo ya kufuatiliana yamepitwa na wakati.
So umepoteza bahati ukamuacha aliekuwa anakufatilia..🤣Kumbeee🤔🤔