Ndetirima
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,008
- 786
TIQO hapa nilitaka kujua uwezo wake wa kuelewa ili nijue naweza kuanza kumfundisha toka wapi.
unless kama hujaona mantiki ya swali langu but kumuliza level ya shule nilitaka jua nikitumia biological terms atanielewa vizuri na hasa nikichanganya na kiingereza??
kumuuliza kama alisoma ordinary school ama technical school ni wazi kwamba sote tuajua kama alisoma shule ya kawaida angekuwa na basic biology knowledge so pakuanzia kumfundisha, pasingekuwa pagumu sana, ila kama amesoma techncal school najua hajui biology kabisaaaaa so huyu nitaanza kumfunza kama form one kid.
kumbuka am a teacher na siku ya kwanza kukutana na mwanafunzi mgeni jambo la kwanza ni kumpa maswali aseme back ground yake ndipo utajua misingi wakena kinachofuata hapa zaid ni kumpa maswali kutokana na basic background yake ndipo ujue anaweakness gani ili scheme yake uweze kuipanga.
kama kwa misingi hii niko wrong am so sorry
Mimi kwa maoni yangu ningependa uwe unajibu kila swali kwa levo ya chini kabisa kwasababu humu tupo watu wa levo zote na majibu si kwa faida ya mtoa mada tu. Nakuomba sasa Mwalimu na wewe umjibu. Asante