Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Sidhani kama mngekuwa mnatumia majina yenu halisi mngeweza kubully na kudharirisha watu humu kwa kinachoitwa Ubuyu. Ubuyu mzuri ni kwa mwenzako ila usikuguse wewe. Heshimuni wenzenu na acheni kupakazia watu ushoga na usagaji. Kama nyie akina cocastic ndio mashoga sio vyema kila mtu kumuita na kumpakazia ushoga. Tumieni majina yenu halisi tuone kama mnaweza kuandika hizi nyuzi za kipuuzi za kudharirisha utu wa wenzenu.Umeleta umbea ukakutana na professionals 🤣🤣🤣🤣
Jf watu wanajua vitu halafu wanakaa navyo tu siku mtu akigusa tu watu wanamwagikaaa
Yule mzee kalostisha wengi sana mkuu, na kama angekuwepo mpaka leo aisee watu wengi sana wangekuwa wanaishi kama mashetani kama akivyokuwa akisema..Ila Magu alikuwa sio poa. Muziki wake wa miaka mitano ulikuwa mnene. Kuwa vijana wengi wa TPA walinyea sana ndoo enzi zake.
Ukishazushia wengine unanufaika na nini?Coca KASHAINGIA MJENGONI...
SALUTEEEEE,,,,,,,,MPAKA HII UNAIJUA DUUUU WEWE MTOTO MPEKUZI 🤣🤣🤣
Ukishazushia wenzako mashoga wewe itakusaidia nini? Acha hizi tabia sio nzuri, mnadharirisha wenzenu bila sababu. Mwenzenu warumi sasa anagonhwa Makenzie na mapepo sasa huku kuzimu alipo kwa huu upuuzi aliokiwa anazushia wenzie huku yeye kafa kwa Kansa mk...... tokana na ushoga wake. Acheni hizi tabia. Hao mnaowazushia wana ndugu na familia.Sasa hizi ni code? Mbna simple tyuuh.
Km ni Dr mikufu na huyo the greatest si walisha share bwana kutoka mjengoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sope..Hapana yule sio n shemej ake, boss yuko na sope
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hujui Dimp ni mke halali wa Gavana??
Lazima awe smart, haya mabalaa huwezi kuyafanya ukiwa na akili ndogo.Sina jibu la uhakika kama yupo uraian ama lupango.
Sababu baada ya kusikia taarifa ya yeye kukamatwa sikutaka tena kumfatilia.
Ila sister ukimuona ni mtu smart sana.
Unamlenga jamaa wa kongwa!? Ina maana kile kizee nacho ni kifirauni?
Nani huyu msukuma mkandamizaji, wa ze comedy!?
Code zisiwe ngumu tafadhali, mtatufanya sisi tuwe wavivu kupitia nyuzi,
Raha ya kodi uweze uikodoe 😂
Kumbe wadau mko wengi hivi? 🤣🤣🤣Harrier kapigwa.[emoji23][emoji23]
Mkuu twende pole poleSidhani kama mngekuwa mnatumia majina yenu halisi mngeweza kubully na kudharirisha watu humu kwa kinachoitwa Ubuyu. Ubuyu mzuri ni kwa mwenzako ila usikuguse wewe. Heshimuni wenzenu na acheni kupakazia watu ushoga na usagaji. Kama nyie akina cocastic ndio mashoga sio vyema kila mtu kumuita na kumpakazia ushoga. Tumieni majina yenu halisi tuone kama mnaweza kuandika hizi nyuzi za kipuuzi za kudharirisha utu wa wenzenu.
Mkuu ID yako naipendaga, hivyo imekusaidia nitakustahi…Sidhani kama mngekuwa mnatumia majina yenu halisi mngeweza kubully na kudharirisha watu humu kwa kinachoitwa Ubuyu. Ubuyu mzuri ni kwa mwenzako ila usikuguse wewe. Heshimuni wenzenu na acheni kupakazia watu ushoga na usagaji. Kama nyie akina cocastic ndio mashoga sio vyema kila mtu kumuita na kumpakazia ushoga. Tumieni majina yenu halisi tuone kama mnaweza kuandika hizi nyuzi za kipuuzi za kudharirisha utu wa wenzenu.
Ni wapumbavu tu ndio wamesahau haya wanamsifu na kumkumbuka.Yule mzee kalostisha wengi sana mkuu, na kama angekuwepo mpaka leo aisee watu wengi sana wangekuwa wanaishi kama mashetani kama akivyokuwa akisema..
Halafu sijajua page ya udaku amefata niniWewe hebu achana nao, naona wamechelewa kuja sijui wametokea wapi?
Wazoee.