Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Sidhani kama mngekuwa mnatumia majina yenu halisi mngeweza kubully na kudharirisha watu humu kwa kinachoitwa Ubuyu. Ubuyu mzuri ni kwa mwenzako ila usikuguse wewe. Heshimuni wenzenu na acheni kupakazia watu ushoga na usagaji. Kama nyie akina cocastic ndio mashoga sio vyema kila mtu kumuita na kumpakazia ushoga. Tumieni majina yenu halisi tuone kama mnaweza kuandika hizi nyuzi za kipuuzi za kudharirisha utu wa wenzenu.Umeleta umbea ukakutana na professionals 🤣🤣🤣🤣
Jf watu wanajua vitu halafu wanakaa navyo tu siku mtu akigusa tu watu wanamwagikaaa